Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Siku moja kabla ya argentina kucheza game yao ya mwisho ya kufuzu kombe la dunia bwana shafii alihitimisha kabisa jamaa hawawezi kufuzu kabisa.. nilimshangaa sana aliongea kama mtu asiyeujua mpira kabisa yaani
 
UKIMSIKIA ANAONGEA KIINGEREZA NDIO UTACHEKA.SIJUI ULAYA HUWA ANAENDAJE.KIINGEREZA KICHAFU SANA
 
Nilimsikia mtangazaji mmoja wa RFA akisema SMG ni Short Machine Gun mtu anaongea kabisa kwa kujiamini bora hata kuuliza kama hujui kuliko kutoa tafsiri yako ili tu iendane na neno husika
 
Nilimsikia mtangazaji mmoja wa RFA akisema SMG ni Short Machine Gun mtu anaongea kabisa kwa kujiamini bora hata kuuliza kama hujui kuliko kutoa tafsiri yako ili tu iendane na neno husika
SMG= sumbawanga
 
Kumbe na wewe humjui vizuri umejuaje kama ni mchambuzi uchwara??
 
Mtu anaejua vitu na msema kweli kwa tanzania humuona huyo mtu hajui chochote@my take shafii yupo vizuri sana katika uchambuzi wa soka lakini anaonekana hajui

kujua kuwa mtu fulani hujui kitu fulani au anajua inategemeana na IQ ya mtu na kwa Tanzania kuna mrundikano watu wengi wasiokuwa na uelewa wa vitu mbalimbali hata wale waliobahatika kwenda shule
 
....still bado...is "bado x 2" sidhani kama "ananiboaga" kuna neno limejirudia hapo though root word ni kiingereza...ni kama nikuambie "umefeli" kumtetea huyo bwana wa "still bado" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Lets cut story short...hebu pen down the meaning of 'ananiboaga'
 
kweli Mara chache nilizomfatilia ni zero kabisaa na English pia ni shida sana cjui alisomaje IFM anaongea English ya hovyooo
JPM amesoma UDSM na ana Phd lugha ya malkia inamsumbua sembuse Shafih mwenye Advanced Diploma ya Ifm?
 
sembo naona wenzako wamechanganyikiwa mapema wameanza kumtukana shabiki mwenzenu wamchangani kwa kuongea ukweli
 
Wale walimtoa na jamaa aliyeko Azam akitokea Clouds kwakuwa walimjua anajua sana kuchambua Mpira kwakuwa walijua anawazimisha na wanataka wao tu wajulikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…