Yaan wananiboa balaa, pia hat Dada aliyeongoza kipindi cha top 20 naye kasema hivyo hivyo still badoananiboaga anasemaga 'still bado'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan wananiboa balaa, pia hat Dada aliyeongoza kipindi cha top 20 naye kasema hivyo hivyo still badoananiboaga anasemaga 'still bado'
Inawezekana halidhishwi na mumewe
fyuAkikuomba mzigo utampa??
njoo wewe basi uniridhishe !maana inaonekana ni mie tu ndo nataman! pumbafu!
sasa una lazimisha iwe unavyo taka wwUgoro utakuua acha kuubwia
Dauda anajua kiukwel ila wabongo tuna Mapenzi unataka asifie unachokipenda au unavyoamini dauda bonge la mchambuzi kibongobongo.View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Naungana na wewe ata Haji Manara kipindi anachambua mpira hua ni mchambuzi mzuri namkumbuka miaka ya nyuma aliifanya hii kazi.
Mara nyingi anapoongea na wengine huwaona wengine kama hawajui, utasikia anawaambia"umeelewa" kila wakat hutumia neno hilo
Hizo statistics siyo za kweli au tatizo lako nini hasa?..Hebu jikite kwenye hoja ili tuone wewe na yeye nani uchwara..View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Style ya uchezaji ni tofauti Bob niyoo ni kiunganishi cha team kumiliki mpira na kucheza vzr....ajibu huwezi hvyoo so si niyo hata asipofunga till we're oky coz team ina milk mpira had no presha no stesslkn Niyonzima c kiungo mshambuliaji the same to Ajib au ttzo nn