Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Shafiiii......ata na mimi binafsi uwa nashindwa kumsoma
 
Kumchukia mtu imo lkn ww umezidisha chuki zako... Inamaana hana hata moja analozungumza la maana? Hata ww ulivyo kuna watu unatuboa sana so nenda polepole acha roho mbaya
 
Dauda anajua kiukwel ila wabongo tuna Mapenzi unataka asifie unachokipenda au unavyoamini dauda bonge la mchambuzi kibongobongo.
Naungana na wewe ata Haji Manara kipindi anachambua mpira hua ni mchambuzi mzuri namkumbuka miaka ya nyuma aliifanya hii kazi.
 
Hizo statistics siyo za kweli au tatizo lako nini hasa?..Hebu jikite kwenye hoja ili tuone wewe na yeye nani uchwara..
 
Mwalimu kashasha na Dr Leakey tu..Na Ali mayay Tembele labda

hawa wengine wasanii wa mjini tu
 
Mwalimu Kashasha ni habari nyingine kabisa.
Edo nae ni mzuri kwa uchambuzi, pale Mawingu akiwepo Edger Kibwana ndio nasikiliza kipindi chao jamaa anajitahidi.
 
lkn Niyonzima c kiungo mshambuliaji the same to Ajib au ttzo nn
Style ya uchezaji ni tofauti Bob niyoo ni kiunganishi cha team kumiliki mpira na kucheza vzr....ajibu huwezi hvyoo so si niyo hata asipofunga till we're oky coz team ina milk mpira had no presha no stess
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…