Shafii Dauda sasa nimekuelewa

Unaona simba wako baridi kabisa, Nazani tatizo waliwatisha mno, kwamba wawe makini kutowachezea hao jamaa rafu kama tulivyosoma kwenye mitandao, umakini ndio unatakiwa uwanjani lakini siio kuogopa kucheza faulo, na ndio maana wameshinda kirahisi, ila hawa jamaa wanafungika kabisa, ila waachane na mambo sijui msiwachezee rafu, wakati sometimes rafu haikwepeki maana ni sehemu ya mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli simba wameoneshwa soka lá kimataifa, mbinu Kali, nguvu, akili uwezo binafsi na ukatili mbele ya goli!.. Vita sio wa kuwachezea wale jamaa.. pongezi apewe kocha wao kwa aina ya soka lile.. na pia kuhusu issue ya kuwa na wachezaji wenye miili mikubwa ni muhimu kwa soka la África...
 
Swadakta
Bado ni tatizo sana
Leo nchi kama Lesotho,comoro madagasca zimeimarika,wakati zilikuwa vibonde,sie tupo pale pale na magazeti yetu.porojo tele
 
Aisee zingefika kumi duhh
 
Alaa,kumbe
Sasa simba wamepewa Msibahati,ila hata nawewe umekosea in HATIMSIBA au HATIKIFO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…