Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ligi mabingwa hiyo??
sana
Sana,yamchangani kwetu
SwadaktaNashukuru Nafsi yangu " haijanipatia ujinga wa kupenda soccer la bongo " soccer ambalo limejaa uwezo wa kiuchezaji wa " midomoni na kwenye media kuliko ule upatikanao kwenye pitch ..
Bongo bahati mbaya -- wananchi wake wanaupenda sana mchezo wa mpira wa miguu " lakini bahati mbaya iliyoje " taasisi yao hiyo imekosa viongozi makini weledi wazalendo " wenye uchungu na ukuuaji ustawi wa mchezo huo hapa nchini " na bahati mbaya tasnia hiyo imejaza viongozi wana siasa walowezi " janja janja. Ambao wameikita mizizi yao hapo kwaajili ya maslahi ya matumbo yao na ya jamaa zao waliowaweka hapo " ....
Sent using Jamii Forums mobile app
January 19, 2019
Kinshasa, DR Congo
Full highlights all goals in a Caf Champion league 2019 match :
AS VITA CLUB 5 - 0 SIMBA SC
Venue straight from Stade des Martyrs de la Pentecote in Kinshasa, DR Congo
Mundele 14' na 74'
Botuli 19'
Ngoma 45+ 2'
Makwekwe 71'
Alaa,kumbeUnderdog=Msibahati
Na sio mbwa wa chini au chini ya mbwa[emoji848][emoji848]
"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
Hahaha,hii kauli ilichekesha,ndio nikasema soka letu kweli lamdomo
We Injinia Bwire umeambiwa SOMA HIYOOOO
Inashangaza sana kwakweliSwadakta
Bado ni tatizo sana
Leo nchi kama Lesotho,comoro madagasca zimeimarika,wakati zilikuwa vibonde,sie tupo pale pale na magazeti yetu.porojo tele
😂😂😂😂😂kweli nimeamini vumbi la kongo linafanya kazi
Pipa na mfuniko kusifia mechi kama hizo. Wanaume wanachukua vikombe vya Africa. Pale Congo kuna wanaume wa shoka, Tujitahidi nasi tubebe haya makombe jamani