Shafii Dauda sasa nimekuelewa

Haya yalikuwa ni mauaji ya alaiki tena ya kikatili, Simba wamekutana na cha mbwa koko !!! hawa jamaa wa kongo ni kati ya watu wnye roho mbaya sana na wasio na huruma
 
Mna tatizo la kocha hajui mechi gani wafunguke na mechi gani wacheze tight marking/defensive. Wachezaji tunao kiasi fulani ila kocha tumeliwa mchana kweupeee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani sisi hapa Nyumbani Tanzania sijui tufanyeje ili soka letu lisonge mbele,Wenzetu wanavyocheza unaona kabisa kwamba kuna kitu kinafanyika,Poleni sana Watani but we have long way to go.

Sent from Gamboshi air line
 
Hata kocha aliyewahi kuifundisha Simba SC, Babu Msoma alitoa angalizo la Simba kucheza na timu kama Chipukizi au Gulioni ukategemea kucheza vizuri Caf Champion League
Source : Dauda TV
 
Raul Shungu kocha msaidizi wa AS Vita Club afunguka kuhusu mpira wa Simba uliopelekea mpaka kubugizwa mabao 5 kwa bila leo jijini Kinshasa DR Congo

Source : Dauda TV
 
je hii unaikumbuka! SIMBA 5 - YANGA 0

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bado ni mjinga kweli unakumbuka tu eti simba 5 yanga 0 mie nakumbuka ile mechi yanga alikuwa na migogoro balaa mbaya wachezaji waliharibu ile mechi makusudi kabisa .Mie nashangaa simba kiwango walichoonyesha kwa Algeria sio cha kufungwa goli 5 .Hiyo inaitwa egener soma hiyo......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…