Shafii Dauda sasa nimekuelewa

Aisee hiko hakikuwa kipigo cha underdog, hiki kilikuwa cha mbwa koko
 
Mkuu mbona huna huruma hivyo. Ila simba wapunguze majigambo hasa mh manara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni mwenzangu. Soka la bongo nimeshalitupilia mbali.

Nikijiapiza kurudi pindi ccm itakapobinafsisha simba,yanga na viwanja vyote nchini.

Aliyenielewa anyooshe mkono juu.
 
Mbumbumbu wanakumbushia tu vitu vilivyopita miaka hiyo, wanashindwa kutambua huu ni mwaka 2019 na wamekalia 5-0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni neno la kizungu tu ambalo watu wamelitafsiri vibaya. Yaani watu wanadhani kaishusha simba toka jina SIMBA mpaka MBWA.
Underdog ni neno kuwa ktk kundi lao, timu zilizopo humo ni bora zaidi ya Simba. Kitu ambacho ni kweli. Sasa Manara sijui english yake ikoje maana sijawahi msikia akiongea zaidi ya kuchomeka vimaneno tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…