Shafii Dauda umenikwaza na uchambuzi wako mwepesi kama majibu ya CCM

Sijaona kosa la mchambuzi kila uchwao sheria hubadililika vipi wakisema tumefuta? Man city walifungiwa kusajili kisa mtoto mdogo waliemchukua bila kufuata taratibu lakin wamewaandikia barua uefa wameachiwa
 
Jifunze kwanza kuandika vizuri,pia ww ndo kichwa kigumu TFF wanapeleka jina la timu,CAF ndo watatoa status ya Mtibwa kama adhabu bado ipo cos kuna team ya Hailenders ya Zimbabwe ilifunguliwa,so acha kukosoa bila kuwa well informed na huo mwandiko wako mbaya
 

Huyo nilianza ' Kumdharau ' siku nyingi sana hasa pale alipokuwa akitaka kuwa Msemaji wa Simba SC kipindi fulani na Simba ' wakamtosa ' halafu Yeye akaanza sasa kuiandama Klabu ya Simba katika Utangazaji na Uandishi wake katika Mtandao wake.

Na nilipokuja kumdharau kama siyo kumpuuza zaidi ni pale mwanzoni kabisa mwa Msimu wa EPL 2017 / 2018 kuanza aliposema tena akijigamba kabisa redioni kuwa Klabu yangu ' pendwa ' ya Liverpool FC haitoweza kuwa ndani ya ' Top Four ' huku akisema kuwa labda itamaliza kuwa nafasi ya 5 au ya 6 huku ' akijiapiza ' kabisa. Mliomsikiliza siku ile mtakumbuka.

Wachambuzi wangu ' bora ' wa Mpira nchini Tanzania ni hawa tu wengine kwangu ni ' takataka ' tupu:

  1. Dr. Leakey Abdallah
  2. Oscar Oscar ( Efm )
  3. George Ambangile ( Magic fm )
  4. Edward Kumwembe
  5. Saleh Ally
  6. Ally Mayai Tembele
  7. Jeff Leya
Kila la kheri.
 
Mkuuu najua umemuelewa ni shaffii not shapii hiyo ni typing error
Hizo ni akili za wa Tanzania wengi!Wana dili na vitu vidogo vidogo badala ya kuangali maudhui!Ni aina ya watu ambao ni vigumu sana kuwa organize walete maendeleo.Ni watu ambao wanaweza kumshawishi mwenye nguvu kuwafanya watumwa,au hata anayewapigania( kama wanaonewa) kuwageuka na kuwapiga wenyewe kwanza.Maana wengi hawajitambui.Ningesema mengi lakini niishie hapa.Hii tabia ya ukosoaji wa kijinga jinga huwa inakera sana
 
shaffi jamaa si smart ....sijui alipataje kazi ya chambuzi. au kufahamiana?
 
inaonekana ulikuwa na haraka kweli boss
 
Huyu shaffii anaumia vile vyura wametolewa
 
Tatizo shaffih ana chuki binafsi na liverpool,anaendekeza ushabiki kwenye uchambuzi,jana hajaongelea kabisa mechi za leo UEFA as if hakuna kitu kinachoendelea leo.Bongo wachambuzi uchwara kazi kubet tu
Upo sahihi mkuu, halafu Shafii sio mchambuzi wa soka bali ni soccer historian. Yeye anachojua ni kucheza na takwimu za matukio ya soka pamoja na wacheza soka. Ila soccer technicalities hajui kabisa ni bora Mwl Kashasha. Pia jamaa ametawaliwa sana na u Man U kiasi kwamba analeta ushabiki mpaka kwenye mambo ya utaalamu.
 
punguza jaziba ndugu,kuna baadhi ya maneno umeyakosea hivyo unapoteza maana ya ulichorenga,asante
 
Huwa haangalii mechi ana tabiri kwa uzoefu tu, Ndo maana sikuhizi ana mbwela sana
 
Kabla sijasoma ulichoandika nikuulize hivi inakuaje unakaa kabisa kuskiliza uchambuzi wa hovyo hovyo wa Shafii dauda?
 
yule jamaa sio mchambuzi ila ni mtu anayelazimisha mawazo yake yawe sahihi niliingia kwenye blog yake nimekuta kajaza ukurasa kuzungumzia maoni ya ruge mtahaba kwa kifupi hawa jamaa zao ni kujipa promo
 
Leo kadanganya Power Breakfast kuwa juzi Spanish super cup kuwa Messi kafunga goli 1 dhidi ya Sevilla, wakati aliofunga ni Piqué na Dembele
Huyu jamaa bana [emoji23]
 
Leo kadanganya Power Breakfast kuwa juzi Spanish super cup kuwa Messi kafunga goli 1 dhidi ya Sevilla, wakati aliofunga ni Piqué na Dembele
Huyu jamaa bana [emoji23]
Messi alitoa assist tu katika goal la pili
 
Shafih si mchambuzi wa soka, labda awe mchambuzi wa mchele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…