Nimemsikiliza mchambuz wa michezo shapii kwenye kipindi cha clouds amenikwaza hadi nimejiuliza hivi huyu ni mchambuzi au ni mtu anapiga polojo ili mradi kipindi kipite? Ameulizwa kuwa mtibwa anaingia final na Singida sasa kuna tetezi kuwa huweda akichukua ubingwa anaweza asituwakilishe Kombe la nje kutokana kuwa huko nyuma alifungiwa eti shapii anajibu kuwa inabidi tusubiri akipita tff wataandika barua caf halafu caf itawajibu kuwa huyu aruhusiwi kushiriki au anaruhusiwa jamani jamani jamani yani Kama walifungiwa si tff wananakara Ya hiyo adabu? Iweje tena tff iwaulize? Inamaaana ukifungiwa hupewi nakala Ya kilichosababisha na umefungiwa Kwa kipindi kipi? Inamaaana hata hao mtibwa hawana nakala Ya kifungo chao? Kama tff hawajui basi hawafai kuwepo tena ofisini na Kama mtibwa hajui alifungiwa kipindi gani ni mazobezobe hao vionhozi wao,
Kwa nini namlaaaumu shapiii yeye alitakiwa kuwauliza tff au mtibwa alitakiwa kufanya utafiti atuletee majibu sasa yeye Hana majibu mtaaalam sisi tutamuuliza Nani? Shapiii umepotoka haujawajibika rudi tff uwaulize hiyo adabu Ya mtibwa ni Ya muda gani plz umekengeuka