Shafii Dauda usilazimishe maoni yako kuwa sheria kwakuwa umepewa 10% ili uisifie Simba SC

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
"Yanga SC, imesajili wachezaji wengi sana ila ni waviwango vya chini sana na bei poa tofauti na Simba SC, ambayo pengine imetumia pesa mara Tatu zaidi ya pesa ambazo Yanga wametumia.

"Yanga Inaweza kuwa bora ikiwa hawa wachezaji watatokea wachezaji bora na majina kuwa makubwa ila hadi sasa wako kawaida sana ni 50% kufanya poa wakati huo Simba yenye mastaa kubao pia Inaweza fanya vibaya ila Simba SC, ni 90% kufanya vizuri kulinga na uwekezaji wao wa pesa nyingi kuliko klabo yeyote Tanzania na Africa Mashariki.

Na ukinipinga kuhusu usajili wa Simba SC kuwa ndio sajili ya pesa nyingi kuliko klabu yeyote kanda hii wewe hujui mpira" - Shaffh Dauda

Maoni yangu: unapozungumza/kutoa maoni yako bila fact ni sawa na kufurahisha genge la wanywa pombe au kahawa tu.

Kusema kuwa Simba SC wametumia pesa nyingi kuliko Yanga SC katika usajili ilikupasa kuweka evidence ya mikataba ya wachezaji ili tuwe sawa lakini kutoa maneno matupu hauna tofauti na mshehereshaji katika vilinge vya kahawa.

Kuzungumza kwamba wachezaji wa Yanga SC uwezo wao ni wa kawaida he umewapima kwa kipi?

Na kusema kuwa wachezaji wa Simba SC wanauwezo mkubwa kwa asilimia 90% umeangalia kwa lipi?

Hupaswi kuzungumza tu ulipaswa kuchambua kila engo na kutofautisha huo ubora unaousema lakini tofauti na kufanya hivyo ni Bora unge kaa kimya tu kuliko kulazimisha watu/mashabiki wakubaliane na wewe.

NALIA NGWENA nakujibu na ninakuambia kuwa wewe ndiyo hujui mpira na tukitoa wachambuzi Bora kumi katika hii nchi wewe haumo kabisa.

Kipindi kile ulikua unasoma habari za huko unakuja kuwasimulia kwenye redio watu wanakuona unajua sana lakini hivi Sasa mambo yapo wazi sana huwezi kumdanganya mtu.
 
"Yanga SC, imesajili wachezaji wengi sana ila ni waviwango vya chini sana na bei poa tofauti na Simba Sc, ambayo pengine imetumia pesa mara Tatu zaidi ya pesa ambazo Yanga wametumia.

Yanga Inaweza kuwa bora ikiwa hawa wachezaji watatokea wachezaji bora na majina kuwa makubwa ila hadi sasa wako kawaida sana ni 50% kufanya poa wakati huo Simba yenye mastaa kubao pia Inaweza fanya vibaya ila Simba Sc, ni 90% kufanya vizuri kulinga na uwekezaji wao wa pesa nyingi kuliko klabo yeyote Tanzania na Africa Mashariki

Na ukinipinga kuhusu usajili wa Simba SC kuwa ndio sajili ya pesa nyingi kuliko klabu yeyote kanda hii wewe hujui mpira"

Shaffh Dauda.

Maoni yangu: unapozungumza/kutoa maoni yako bila fact ni sawa na kufurahisha genge la wanywa pombe au kahawa tu.

Kusema kuwa Simba sc wametumia pesa nyingi kuliko Yanga katika usajili ilikupasa kuweka evidence ya mikataba ya wachezaji ili tuwe sawa lakini kutoa maneno matupu hauna tofauti na mshehereshaji katika vilinge vya kahawa.

Kuzungumza kwamba wachezaji wa Yanga sc uwezo wao ni wa kawaida he umewapima kwa kipi??

Na kusema kuwa wachezaji wa Simba sc wanauwezo mkubwa kwa asilimia 90% umeangalia kwa lipi?

Hupaswi kuzungumza tu ulipaswa kuchambua kila engo na kutofautisha huo ubora unaousema lakini tofauti na kufanya hivyo ni Bora unge kaa kimya tu kuliko kulazimisha watu/mashabiki wakubaliane na wewe.

NALIA NGWENA nakujibu na ninakuambia kuwa wewe ndiyo hujui mpira na tukitoa wachambuzi Bora kumi katika hii nchi wewe haumo kabisa.

Kipindi kile ulikua unasoma habari za huko unakuja kuwasimulia kwenye redio watu wanakuona unajua sana lakini hivi Sasa mambo yapo wazi sana huwezi kumdanganya mtu.
We're mpumbavu

Tupe kwanza evidence ya bajeti ya Yanga ya billion 20+ ambayo Ni ya kweli

Na

Evidence ya bajeti ya Simba ambayo Ni bilioni 24 ambayo Ni uongo.

Tuanzie hapo kwanza.
 
Endelea kubaki nae.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbona unampinga Shafii halafu unalazimisha watu wakubaliane na hoja yako ya kimbea na kipuuzi . Hoja ambazo hazina maana Wala mashiko Wala msaada kwa mpira wetu.

Huo utabaki kuwa mtazamo wake.

Kwani kati yako we na Shafii Ni Nani anaweza kuwa na access ya taarifa. Unadhani Shafii anaongea kitu ambacho Hana hakika nacho.

Nb: Kama siyo uzuzu wewe umeweka takwimu gani za kumpinga na kuonyesha uhalisia wenyewe.Pinga halafu tuwekee hizo takwimu halisi.

Yaaani unaandika tu kinachokujia kichwani.

Km ulienda shule wewe ulienda kusomea ujinga! Mithreads miiingi halafu content Ni zero.
 
We're mpumbavu

Tupe kwanza evidence ya bajeti ya Yanga ya billion 20+ ambayo Ni ya kweli

Na

Evidence ya bajeti ya Simba ambayo Ni bilioni 24 ambayo Ni uongo.

Tuanzie hapo kwanza.
Kwa hiyo usajili uliotumika hapo Simba sc ni bajeti ya but 24??

Acha umbung'o ningekuona wa maana ungekuja na evidence za kumtetea huyo kibwengo mwenzio Sasa unakuja kuniomba Tena Mimi niliye criticize huo utumbo wake.

Huna hoja mbung'o wewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo usajili uliotumika hapo Simba sc ni bajeti ya but 24??

Acha umbung'o ningekuona wa maana ungekuja na evidence za kumtetea huyo kibwengo mwenzio Sasa unakuja kuniomba Tena Mimi niliye criticize huo utumbo wake.

Huna hoja mbung'o wewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeweka takwimu zipi za kum criticize?

Usidhani kila mtu ni mjinga km ww. Pinga halafu weka ukweli.

Punguza upumbavu.
 
Mbona unampinga Shafii halafu unalazimisha watu wakubaliane na hoja yako ya kimbea na kipuuzi . Hoja ambazo hazina maana Wala mashiko Wala msaada kwa mpira wetu.

Huo utabaki kuwa mtazamo wake.

Kwani kati yako we na Shafii Ni Nani anaweza kuwa na access ya taarifa. Unadhani Shafii anaongea kitu ambacho Hana hakika nacho.

Nb: Kama siyo uzuzu wewe umeweka takwimu gani za kumpinga na kuonyesha uhalisia wenyewe.Pinga halafu tuwekee hizo takwimu halisi.

Yaaani unaandika tu kinachokujia kichwani.

Km ulienda shule wewe ulienda kusomea ujinga! Mithreads miiingi halafu content Ni zero.
Chomoa Kama inakuuma

Huna hoja

Huna fact

Huna ulijualo

Bali bichwa lako limejaa malalamiko tu hata hujasoma vizuri ulikua unakata gogo huko umesahau hata kuchamba umekuja nduki kureply.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo usajili uliotumika hapo Simba sc ni bajeti ya but 24??

Acha umbung'o ningekuona wa maana ungekuja na evidence za kumtetea huyo kibwengo mwenzio Sasa unakuja kuniomba Tena Mimi niliye criticize huo utumbo wake.

Huna hoja mbung'o wewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya bajeti lakini au unabweka tu
 
Chomoa Kama inakuuma

Huna hoja

Huna fact

Huna ulijualo

Bali bichwa lako limejaa malalamiko tu hata hujasoma vizuri ulikua unakata gogo huko umesahau hata kuchamba umekuja nduki kureply.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio ulipaswa kutuwekea facts .

Narudia usidhani kila MTU Ni mjinga.

Mm siko hapa kukutafutia takwimu. Hoja Ni yako weka takwimu ili tuone udhaifu wa hoja ya sahafii.

Kama na ww huna takwimu kaa kimya hatutaki ujinga ujinga humu.

Unapomwambia mtu kakosea lazima umwambie kosa na umpe jibu sahihi!

Karibu!
 
Aliyezungumzia bajeti ni Nan Kati yako na yangu??

Ulipaswa kumtetea/kuunga hoja kwa evidence kwa kwa hayo mashudu aliyoyatema huyo mbwinga mwenzio.

Weka evidence tupingane kwa hoja mbwiga wewe.

Wewe umeweka evidence ipi? Hoja si umeleta wewe? Mpinge kwa takwimu.

Duuuuh! Mwalimu wako aliteseka Sana kufundisha jiwe!

Nb: Yaan wewe una moral authority ya kumwita Dauda mbwiga! Unakosea sana!

Fahamu haiwezi kutokea tukafanana kufikiri. Ustaarabu Ni kutoa hoja iliyoshiba kupinga HOJA yake.

Weka hizo takwimu!
 
Wewe ndio ulipaswa kutuwekea facts .

Narudia usidhani kila MTU Ni mjinga.

Mm siko hapa kukutafutia takwimu. Hoja Ni yako weka takwimu ili tuone udhaifu wa hoja ya sahafii.

Kama na ww huna takwimu kaa kimya hatutaki ujinga ujinga humu.

Unapomwambia mtu kakosea lazima umwambie kosa na umpe jibu sahihi!

Karibu!
Muunge hoja wewe siyo Mimi na wengine waelevu.
Narudia Tena hizi siyo zama za nyerere

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aliyezungumzia bajeti ni Nan Kati yako na yangu??

Ulipaswa kumtetea/kuunga hoja kwa evidence kwa kwa hayo mashudu aliyoyatema huyo mbwinga mwenzio.

Weka evidence tupingane kwa hoja mbwiga wewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo fedha za usajili kwako siyo bajeti? Ni Nini basi?

Kuna klabu inafanya matumizi bila bajeti?

Una uelewa mdogo sana.
 
Muunge hoja wewe siyo Mimi na wengine waelevu.
Narudia Tena hizi siyo zama za nyerere

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una ujinga mwingi mkuu!

Vingine siyo lazima uandike. Unaweza kuelewa unavyoelewa na ukaacha tu yakapita.

Km unapinga hoja ya takwimu kwamba Hana takwimu ili hali na wewe mwenyewe huna takwimu Ni upumbavu kutaka usikilizwe.

Case closed!
 
Umeweka takwimu zipi za kum criticize?

Usidhani kila mtu ni mjinga km ww. Pinga halafu weka ukweli.

Punguza upumbavu.
Kwani Dauda ameweka takwimu zipi hadi utake apingwe kwa takwimu?
Kingine hata takwimu si lazima ipingwe kwa takwimu. Hiyo ni misemo ni kwa ajili ya kuwatia mioyo watafiti wachanga ili watumie sana takwimu.
Takwimu huweza kupiggwa kwa logic tu. As long as ni big and matured brain
 
Una ujinga mwingi mkuu!

Vingine siyo lazima uandike. Unaweza kuelewa unavyoelewa na ukaacha tu yakapita.

Km unapinga hoja ya takwimu kwamba Hana takwimu ili hali na wewe mwenyewe huna takwimu Ni upumbavu kutaka usikilizwe.

Case closed!
Angethibisha hicho anachokisema kuliko kuanza kusema atakayenipinga hajui mpira.

Hivi una akili kweli wewe??

Unashupaza shingo for nothing kunywa chai ya shemeji yako kwanza ndiyo uje kubisha mbumbumbu [emoji41]

Back
Top Bottom