Shafii Dauda usilazimishe maoni yako kuwa sheria kwakuwa umepewa 10% ili uisifie Simba SC

Mipasho peleka kwenye tarabu.

Huu ni mkoa wa Mara/Tarime mtoto wa kiume acha kubana pua huwa tunakula mpaka kichuri [emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ungejua home ni Nyasincha wala usiongea utumbo unaoongea pimbi wewe! Kutwa kucha Simba, Simba...Simba ilikufanyia nini huko nyuma kwenye mwiko hadi uwe unawashwa washwa kuijadili kila wakati?
 
Nyasincha hakuna wapuuzi Kama wewe labda Kama umeleft group mbweha wewe.

Next time jikite kwenye hoja siyo unakuja kubana pua kwenye chumba Cha wanaume wenye upwiru [emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Maoni ya mpuuzi ni ya kupuuzwa tu,, ikae hivyo

Timu inasajili ma MVP alafu mama mmoja anazungumza kishabiki!?

Yaani gharama za kumsajili MVP wa Rwanda anayecheza Simba utamlinganisha na MVP wa Ivory Coast alisajiliwa na Yanga!?

Shafii katumia Akili za Uvcc ktk hili...
NAUNGA MKONO HOJA.

[emoji117]Usajili wa kipa mbrazil ndiyo unawapa kichwa.

[emoji117]Usajili wa kipa Abel kutoka Tanzania prisons ndiyo unawavimbisha kichwa.

[emoji117]Usajili wa miqsoni kibonge aliyetupwa huko Al ahly Kama takataka wakamchukua Kama mchezaji huru huyo ndiyo wanaemuimba kama nyimbo na wanampa mshahara mkubwa.

[emoji117]Usajili wa Fabrice Ngoma (Gali la mkaa) tripu gereji ndiyo uje kusema kuwa simba ni Bora kuliko Yanga sc.

Wajinga sana Hawa jamaa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona unampinga Shafii halafu unalazimisha watu wakubaliane na hoja yako ya kimbea na kipuuzi . Hoja ambazo hazina maana Wala mashiko Wala msaada kwa mpira wetu.

Huo utabaki kuwa mtazamo wake.

Kwani kati yako we na Shafii Ni Nani anaweza kuwa na access ya taarifa. Unadhani Shafii anaongea kitu ambacho Hana hakika nacho.

Nb: Kama siyo uzuzu wewe umeweka takwimu gani za kumpinga na kuonyesha uhalisia wenyewe.Pinga halafu tuwekee hizo takwimu halisi.

Yaaani unaandika tu kinachokujia kichwani.

Km ulienda shule wewe ulienda kusomea ujinga! Mithreads miiingi halafu content Ni zero.
[emoji117]Usajili wa kipa mbrazil ndiyo unawapa kichwa.

[emoji117]Usajili wa kipa Abel kutoka Tanzania prisons ndiyo unawavimbisha kichwa.

[emoji117]Usajili wa miqsoni kibonge aliyetupwa huko Al ahly Kama takataka wakamchukua Kama mchezaji huru huyo ndiyo wanaemuimba kama nyimbo na wanampa mshahara mkubwa.

[emoji117]Usajili wa Fabrice Ngoma (Gali la mkaa) tripu gereji ndiyo uje kusema kuwa simba ni Bora kuliko Yanga sc.

Upuuzi mtupu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nyasincha hakuna wapuuzi Kama wewe labda Kama umeleft group mbweha wewe.

Next time jikite kwenye hoja siyo unakuja kubana pua kwenye chumba Cha wanaume wenye upwiru [emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
We mama unatafuta kupakwa maji maji ya bamia siyo bure. Una tabia zote za Kabwili, na hapa uko kutafuta basha kutoka Simba.
 
NAUNGA MKONO HOJA.

[emoji117]Usajili wa kipa mbrazil ndiyo unawapa kichwa.

[emoji117]Usajili wa kipa Abel kutoka Tanzania prisons ndiyo unawavimbisha kichwa.

[emoji117]Usajili wa miqsoni kibonge aliyetupwa huko Al ahly Kama takataka wakamchukua Kama mchezaji huru huyo ndiyo wanaemuimba kama nyimbo na wanampa mshahara mkubwa.

[emoji117]Usajili wa Fabrice Ngoma (Gali la mkaa) tripu gereji ndiyo uje kusema kuwa simba ni Bora kuliko Yanga sc.

Wajinga sana Hawa jamaa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndg, Rage ...hakukosea kuhusu Akili za Viongozi wa Simba, Wanachama na mashabiki wao kwa ujumla
FB_IMG_1691414512701.jpg
 
Wewe ndio ulipaswa kutuwekea facts .

Narudia usidhani kila MTU Ni mjinga.

Mm siko hapa kukutafutia takwimu. Hoja Ni yako weka takwimu ili tuone udhaifu wa hoja ya sahafii.

Kama na ww huna takwimu kaa kimya hatutaki ujinga ujinga humu.

Unapomwambia mtu kakosea lazima umwambie kosa na umpe jibu sahihi!

Karibu!
Ukiacha Che Marlon wachezaji wengine wote waliosajiliwa na Simba ni free agent hiyo hela kubwa iliyotumika ilisajili wachezaji gani
 
Akikujibu unitag maana huyo alikua anakata gogo chooni alipoona Uzi tu alisahau hata kuchamba kaja nduki kuropoka.

Hajui Kama miqson kaja Kama mchezaji huru baada ya kufukuzwa na waarabu.

Hajui kuwa kipa mbrazil alikuja kimichongo toka ligi daraja la nne.

Hajui kipa mpya katoka huko Tanzania prisons.

Hajui na hatokuja kujua leo anataka kujivunia na mvp wa Rwanda sijui Burundi hata ligi yao haina ubora wowote.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa simba wamejaliwa midomo tu ya kuongea. Muda ukifika wa kuanza kulalamika, utashangaa kama ndiyo hawa hawa waliokuwa wakikisifia hicho kikosi chao kilichojaa wachezaji wa kawaida tu.
 
Mleta mada unaupiga mwingi sana. Kwa ile Simba tuloiona J2, ile ni average timu. Hata yule beki anayeisifiwa sijaona haswa anasifiwa kwa kipi, timu pinzani haikuwa na kashkash yoyote ile kwenye lango la adui.

Hii Simba ingeanza na Azam Ngao ya Jamii, Simba alikuwa anakufa mapema.
 
Simba timu bora, lkn tumeunga sn kupata hawa players lkn tudiidharau yanga kwamba kikosi ni bei ndogo, tukumbuke yanga wameboresha lkn sisi tumejenga.....kabla ligi haijaanza kwa sasa yanga ni timu bora, lkn ligi ikianza ndio tuanze kulinganisha....coz judgement ni msimu uliopita ambayo yanga ni bora, kwa msimu huu naomba wana simba tusubri ligi ianze
 
Mleta mada unaupiga mwingi sana. Kwa ile Simba tuloiona J2, ile ni average timu. Hata yule beki anayeisifiwa sijaona haswa anasifiwa kwa kipi, timu pinzani haikuwa na kashkash yoyote ile kwenye lango la adui.

Hii Simba ingeanza na Azam Ngao ya Jamii, Simba alikuwa anakufa mapema.
Kaizer Chiefs walileta kashkash gani langoni? Au unadhani hatukuangalia mlipocheza nao?
 
We're mpumbavu

Tupe kwanza evidence ya bajeti ya Yanga ya billion 20+ ambayo Ni ya kweli

Na

Evidence ya bajeti ya Simba ambayo Ni bilioni 24 ambayo Ni uongo.

Tuanzie hapo kwanza.
Anza kuleta evidence ya simba wewe akae akuletee wewe?
 
Hii Simba ingeanza na Azam Ngao ya Jamii, Simba alikuwa anakufa mapema.
Kwa nini useme ingeanza na Azam? Kwa nini usiseme ingeanza na Yanga? Huoni kwamba unathibitisha alichoandika Dauda?
 
Back
Top Bottom