NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Mipasho peleka kwenye tarabu.Kwamba Shafii usimsikilize, ila umsikilize NALIA NGWENA ?Kwani NALIA NGWENA yeye ni nani kama siyo kikatuni fulani kama Fidodido Cheney nywele ziizosimama kama misumali?
Tatizo unakurupuka na unakuja kujibu kishabiki.Kwahiyo fedha za usajili kwako siyo bajeti? Ni Nini basi?
Kuna klabu inafanya matumizi bila bajeti?
Una uelewa mdogo sana.
Ungejua home ni Nyasincha wala usiongea utumbo unaoongea pimbi wewe! Kutwa kucha Simba, Simba...Simba ilikufanyia nini huko nyuma kwenye mwiko hadi uwe unawashwa washwa kuijadili kila wakati?Mipasho peleka kwenye tarabu.
Huu ni mkoa wa Mara/Tarime mtoto wa kiume acha kubana pua huwa tunakula mpaka kichuri [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nyasincha hakuna wapuuzi Kama wewe labda Kama umeleft group mbweha wewe.Ungejua home ni Nyasincha wala usiongea utumbo unaoongea pimbi wewe! Kutwa kucha Simba, Simba...Simba ilikufanyia nini huko nyuma kwenye mwiko hadi uwe unawashwa washwa kuijadili kila wakati?
NAUNGA MKONO HOJA.Maoni ya mpuuzi ni ya kupuuzwa tu,, ikae hivyo
Timu inasajili ma MVP alafu mama mmoja anazungumza kishabiki!?
Yaani gharama za kumsajili MVP wa Rwanda anayecheza Simba utamlinganisha na MVP wa Ivory Coast alisajiliwa na Yanga!?
Shafii katumia Akili za Uvcc ktk hili...
[emoji117]Usajili wa kipa mbrazil ndiyo unawapa kichwa.Mbona unampinga Shafii halafu unalazimisha watu wakubaliane na hoja yako ya kimbea na kipuuzi . Hoja ambazo hazina maana Wala mashiko Wala msaada kwa mpira wetu.
Huo utabaki kuwa mtazamo wake.
Kwani kati yako we na Shafii Ni Nani anaweza kuwa na access ya taarifa. Unadhani Shafii anaongea kitu ambacho Hana hakika nacho.
Nb: Kama siyo uzuzu wewe umeweka takwimu gani za kumpinga na kuonyesha uhalisia wenyewe.Pinga halafu tuwekee hizo takwimu halisi.
Yaaani unaandika tu kinachokujia kichwani.
Km ulienda shule wewe ulienda kusomea ujinga! Mithreads miiingi halafu content Ni zero.
We mama unatafuta kupakwa maji maji ya bamia siyo bure. Una tabia zote za Kabwili, na hapa uko kutafuta basha kutoka Simba.Nyasincha hakuna wapuuzi Kama wewe labda Kama umeleft group mbweha wewe.
Next time jikite kwenye hoja siyo unakuja kubana pua kwenye chumba Cha wanaume wenye upwiru [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huna hoja kaa kimya.We mama unatafuta kupakwa maji maji ya bamia siyo bure. Una tabia zote za Kabwili, na hapa uko kutafuta basha kutoka Simba.
Ndg, Rage ...hakukosea kuhusu Akili za Viongozi wa Simba, Wanachama na mashabiki wao kwa ujumlaNAUNGA MKONO HOJA.
[emoji117]Usajili wa kipa mbrazil ndiyo unawapa kichwa.
[emoji117]Usajili wa kipa Abel kutoka Tanzania prisons ndiyo unawavimbisha kichwa.
[emoji117]Usajili wa miqsoni kibonge aliyetupwa huko Al ahly Kama takataka wakamchukua Kama mchezaji huru huyo ndiyo wanaemuimba kama nyimbo na wanampa mshahara mkubwa.
[emoji117]Usajili wa Fabrice Ngoma (Gali la mkaa) tripu gereji ndiyo uje kusema kuwa simba ni Bora kuliko Yanga sc.
Wajinga sana Hawa jamaa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukiacha Che Marlon wachezaji wengine wote waliosajiliwa na Simba ni free agent hiyo hela kubwa iliyotumika ilisajili wachezaji ganiWewe ndio ulipaswa kutuwekea facts .
Narudia usidhani kila MTU Ni mjinga.
Mm siko hapa kukutafutia takwimu. Hoja Ni yako weka takwimu ili tuone udhaifu wa hoja ya sahafii.
Kama na ww huna takwimu kaa kimya hatutaki ujinga ujinga humu.
Unapomwambia mtu kakosea lazima umwambie kosa na umpe jibu sahihi!
Karibu!
Akikujibu unitag maana huyo alikua anakata gogo chooni alipoona Uzi tu alisahau hata kuchamba kaja nduki kuropoka.Ukiacha Che Marlon wachezaji wengine wote waliosajiliwa na Simba ni free agent hiyo hela kubwa iliyotumika ilisajili wachezaji gani
Kaizer Chiefs walileta kashkash gani langoni? Au unadhani hatukuangalia mlipocheza nao?Mleta mada unaupiga mwingi sana. Kwa ile Simba tuloiona J2, ile ni average timu. Hata yule beki anayeisifiwa sijaona haswa anasifiwa kwa kipi, timu pinzani haikuwa na kashkash yoyote ile kwenye lango la adui.
Hii Simba ingeanza na Azam Ngao ya Jamii, Simba alikuwa anakufa mapema.
Anza kuleta evidence ya simba wewe akae akuletee wewe?We're mpumbavu
Tupe kwanza evidence ya bajeti ya Yanga ya billion 20+ ambayo Ni ya kweli
Na
Evidence ya bajeti ya Simba ambayo Ni bilioni 24 ambayo Ni uongo.
Tuanzie hapo kwanza.
Mbona hii hakuna alipoisema?Na kusema kuwa wachezaji wa Simba SC wanauwezo mkubwa kwa asilimia 90% umeangalia kwa lipi?
Kwa nini useme ingeanza na Azam? Kwa nini usiseme ingeanza na Yanga? Huoni kwamba unathibitisha alichoandika Dauda?Hii Simba ingeanza na Azam Ngao ya Jamii, Simba alikuwa anakufa mapema.