Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mgombea Ubunge Jimbo la Uyui kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Shafini Sumar akiongea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika Jimbo la Uyui kata ya Mabama Wilayani humo amewaomba Wananchi kumpa kura za kutosha Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na kumchagua yeye mbunge ili akasimamie ilani na Ahadi za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan.
Itakumbukwa hivi karibuni mnamo Tarehe 11, Septemba,2025 Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan akiwa katika kampeni Mkoani Tabora na katika wilaya ya Uyui aliahidi kuboresha Miundombinu ya Barabara, Maji na Sekta ya Afya katika wilaya ya Uyui.