"Je, kula nyama ya NGURUWE
au Ngamia ni haramu..??"
Hili swali tumeulizwa mara
nyingi sana sisi walokole. Jibu
ni kwamba; kula nyama ya
nguruwe au ngamia ni haramu
tena ni dhambi na ni kuasi
maagizo ya Allah Subhanahu
wa ta'ala ambaye kwamba
amekataza kabisa kabisa kupitia
kwenye Misahafu, kula nyama
ya nguruwe na ile ya ngamia.
Hebu soma Biblia kitabu cha
Mambo ya Walawi 11:4 na
11:7.