Shahada ya pili (masters) vs Darasa la nne la zamani.

Shahada ya pili (masters) vs Darasa la nne la zamani.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
"Elimu yetu ipo shakani, sasa hivi mtu mwenye shahada mbili analingana na mtu wa darasa la nne la zamani"

Hii ni kauli iliyo ongelewa na mtanganyika mwenye shahada tatu (Phd).
Alichokizungumza ni sawa?
 
Sawa elimu yetu si bora sana ila si kiasi hicho cha kulinganisha masters na darasa la nne.Huyo jamaa kavurugwa,inaonyesha hizo degree amechakachua
 
"Je, kula nyama ya NGURUWE
au Ngamia ni haramu..??"
Hili swali tumeulizwa mara
nyingi sana sisi walokole. Jibu
ni kwamba; kula nyama ya
nguruwe au ngamia ni haramu
tena ni dhambi na ni kuasi
maagizo ya Allah Subhanahu
wa ta'ala ambaye kwamba
amekataza kabisa kabisa kupitia
kwenye Misahafu, kula nyama
ya nguruwe na ile ya ngamia.
Hebu soma Biblia kitabu cha
Mambo ya Walawi 11:4 na
11:7.

So why unauliza? Biblia iko wazi wala hipindinishi neno
 
DR Slaa ndio mmiliki wa hiyo kauli

Yes, Dr. Is the owner of that phrase, but i ddnt want to mention him because i wanted logical points and not defending point from his followers. Baadhi ya wafuasi hujadili kwa hisia bila logic.
 
Back
Top Bottom