ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Duh...are you serious!??
Jamani kwa anaye faham hii fakat inaitwa "rulal development" iko vip soko la ajira,,maeneo unayo weza fanyia kazi mshahar wake uko vip tusaidieniii plz na ugumu wake uko wap
Jamani kwa anaye faham hii fakat inaitwa "rulal development" iko vip soko la ajira,,maeneo unayo weza fanyia kazi mshahar wake uko vip tusaidieniii plz na ugumu wake uko wap
Mkuu leo yako ndio future yako, tafuta kozi nyingine kama hutaki kuja kuzunguka na bahasha.
haina ajira iyo achana nayo. ucje lia
Wewe ni kama nani?hao walioinzisha waliianzisha kwa malengo,great thinker hawezi kujibu kimipasho hivyo,toa sababu tukuelewe