Shahada ya Rural Development

Shahada ya Rural Development

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Jamani kwa anaye faham hii fakat inaitwa "rulal development" iko vip soko la ajira,,maeneo unayo weza fanyia kazi mshahar wake uko vip tusaidieniii plz na ugumu wake uko wap
 
Jamani kwa anaye faham hii fakat inaitwa "rulal development" iko vip soko la ajira,,maeneo unayo weza fanyia kazi mshahar wake uko vip tusaidieniii plz na ugumu wake uko wap

Rural Development sio faculty mkuu bali ni degree program.Kwa SUA km sikosei ipo chini ya kati ya department ya Agricultural Extension au Institute Continuining Education (ICE)
Ila subiri wajuzi wa mambo waje
 
Mkuu leo yako ndio future yako, tafuta kozi nyingine kama hutaki kuja kuzunguka na bahasha.
 
Jamani kwa anaye faham hii fakat inaitwa "rulal development" iko vip soko la ajira,,maeneo unayo weza fanyia kazi mshahar wake uko vip tusaidieniii plz na ugumu wake uko wap

Kwa Tanzania/Africa hii kitu "rural development" iko kwenye nadharia tu,mkuu . KOZI IPO SUA,MOROGORO NA IRDP,DODOMA.
 
Mkuu leo yako ndio future yako, tafuta kozi nyingine kama hutaki kuja kuzunguka na bahasha.

Wewe mwenyewe mpaka sasa hujielewi then unakatisha tamaa wenzako,afadhali ya yeye mara mia kuliko wewe unataka kusoma university of iringa chuo hata hakipo katika ramani ya dunia.,kila mtu na bahati yake
 
Tafuta course ambayo waweza jiajiri pia na ukafanikiwa. Achana na Rural Development
 
Back
Top Bottom