Shahada ya sheria (LL.B) imefutwa rasmi Tanzania?

mbona hujasema kuwa digrii ya kwanza ya udaktari ilishafutwa? sababu nayo bila internship mambo hayajaenda sawa
 
Mi naona kwa Tanzania hii sansa, kia kitu kikianza kupatikana kwa wingi wanatengeneza utaratibu wa kubana kidogo.Mfano, madereva na NIT. Hivi ni kweli kwamba amani hatukuwa na Madreva wazuri? Mbona hata kaba ya Lw School tulikuwa na wanasheria nguli... Haafu hao madereva wanaofundisha NIT wao walijifunza NIT ya wapi? Hawa mawakili wanaofundisha law school wo walipata wapi kibali cha kufundisha hiyo kitu? Naomba ikumbukwe kwamba hao mawakii wanawabania sana vijana wetu kw kisingizio kwamba wkienda mtaani wataanza kuwania na kuchukuwa kai zao? Wakati wenzetu wanazalisha wansheria wengi (Kenya, Uganda) nyie mnawabana wakwenu halafu mnasema uhuru wa ajra mnategemea nini? Mambo mengine tunakurupuka tu.
 
It's really illogical to think that a law graduate cannot perform duties that a sociology or PA graduate can do. And more particular in mediation or arbitration issues. It's just foolish
.
By the way these guys depended on HELSB for their law degree how can they afford that law school?
 
Its is annoying especially kuona a law student anakua haqualify kwenye mambo wa mediation na arbitration ila wa sociology na human resource wanq qualify sio sawa kabisa utumishi inatakiwa wakemewe..!
 
sheria haina maana tena ni bora imafutwa...what is law school BTW?
 
Oops, afadhali, kidogo nidhanie wameacha kudahili kabisa kitivo cha sheria, mabinti warembo tungewapata wapi sie.

Nyie ndo ambao hamtulii na ndoa zenu binti akikupiga chini unamfelisha kwenye CW.
 
Sasa unataka nimfelishie wapi? Lazima ujue pa kupiga, na wakati gani upige, ndio akili za maisha hizo.

Nyie ndo ambao hamtulii na ndoa zenu binti akikupiga chini unamfelisha kwenye CW.
 

Hapo umepotosha mdau.. Hata hao wa socialogy hapo wameambiwa wawe na postgraduate diploma ya law... Kwa nafas hizo za arbitrator na mediator
 
Its is annoying especially kuona a law student anakua haqualify kwenye mambo wa mediation na arbitration ila wa sociology na human resource wanq qualify sio sawa kabisa utumishi inatakiwa wakemewe..!

Waliotoa hayo masharti syo utumishi.. Ni waajiri wenyewe.. Hata hivyo na hao wa hr na socialogy wamepewa sharti la kuwa na post graduate diploma ya sheria kwa mujibu wa hilo tangazo
 

ThumbUp homie😛
 
Mwanasheria anayetakiwa hapo una mshahara mnono na ni top wa wote hivyo sharti awe na law school
 
Hapo umepotosha mdau.. Hata hao wa socialogy hapo wameambiwa wawe na postgraduate diploma ya law... Kwa nafas hizo za arbitrator na mediator

Post graduate ya law, mediation and arbitration, kutoka kutoka chuo/taasisi yoyote inayotambuliwa sana sana kutoka chuo cha ustaw wa jamii, kama una LLb chagua moja ili upate kazi hyo usome law school au ukasome hyo post graduate, ishu haijui hyo kaz inahusu nn
 
ujaelewa bado kwa Post ya MEDIATOR na ARBITRATOR, muombaji akiwa na LLB sharti awe amepitia Law School ambapo huko anakuqa ameiva practically vivyo hivyo na yule mwenye Degree ya Social science ni lazima naye awe amemaliza pia Postgraduate Diploma in Law, Mediation and Arbittation ambapo huko nako kuna pure Practical hasa MOOTS MEDIATION AND ARBITRATION ambayo kila muhitimu lazima apitie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…