Ukifuatilia utakuta hicho ''chuo'' ni cha magumashi. Samia anapenda sana watu wa aina hii kwa sababu wanakuwa roho ya uuaji.Dunia ina mengi Leo nimeshangaa Shahidi ambaye ni Afisa wa Police kusema alipata Elimu ya Degree mambo ya Mafriji huko Nairobi
Hivi chuo kikuu kitaamua kudahili na kutoa elimu ya mafundi fridge
Police mbona mnaajiri mabunda.
Sasa Kwa jitu ujinga kama hili mtashinda kesi Gani? View attachment 3488098
Sio mangi huyo ni mmeruparadox