Shahidi kukimbia cross examination nini matokeo yake?

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,833
Reaction score
972
Wakuu salaam!

Wakati tukiendelea kumtafuta Paul Makonda a.k.a BASHITE ili akapate haki yake kamili pale Mahakamani iwe kusafishwa mbele ya umma au kupelekwa gerezani.

Yanayoendelea kwenye kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. F. A. Mbowe na wenzake (makomandoo) watatu kwa mashahidi upande wa Jamuhuri ambao ni Askari Polisi wanaendelea kuugulia kizimbani (kama sio kisingizio) na hatima yake ni kutokomea bila kurudi tena kuendelea na Cross Examination kutoka kwa upande wa mawakili wa Utetezi.

Naomba wenye uelewa wa kisheria watueleweshe nini hutokea pale shahidi anapomaliza kutoa ushahidi wake na inapofikia sehemu ya kuutikisa ushahidi wake (Cross Examination) hutokomea gizani kwa kisingizio cha ugonjwa na harudi tena mahakamani.

Karibuni!
 
Wanatia aibu sn
 
Sasa kama ana tumbo la kuhara asipumzishwe?
Hivi unajua madhara ya kula soseji kachumbari na maziwa mtindi?alafu unashushia na juice ya ukwaju .tumbo lazma lijibu.
 
Ukiwakuta maeneo Yao ya Kazi wanavyopiga mikwara sasa, kizimbani wanakua wanyonge kama watoto
😁😁😁"Weeh kuja hapa! Chuchumaa!! Afande Jumanne hebu rirete hiro riharifu huku sentro turishurikie, maana ni rijeuri sana" 😁😁😁
 
Wakuu salaam!

Wakati tukiendelea kumtafuta Paul Makonda a.k.a BASHITE ili akapate haki yake kamili pale Mahakamani iwe kusafishwa mbele ya umma au kupelekwa gerezani.

Yanayoendelea kwenye kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. F. A. Mbowe na wenzake (makomandoo) watatu kwa mashahidi upande wa Jamuhuri ambao ni Askari Polisi wanaendelea kuugulia kizimbani (kama sio kisingizio) na hatima yake ni kutokomea bila kurudi tena kuendelea na Cross Examination kutoka kwa upande wa mawakili wa Utetezi.

Naomba wenye uelewa wa kisheria watueleweshe nini hutokea pale shahidi anapomaliza kutoa ushahidi wake na inapofikia sehemu ya kuutikisa ushahidi wake (Cross Examination) hutokomea gizani kwa kisingizio cha ugonjwa na harudi tena mahakamani.

Karibuni!
Hii kesi ya makanyanga bumbag huku bumba kule, Samia anajiabisha
 
Kama shahidi atakimbia cross examination baada ya kutoa ushahidi wake...basi ushahidi wake utatupiliwa mbali (hautatumika) at some point, shahidi atashitakiwa kwa kudharau mahakama! Kwa sababu ukisha apa,lazima uwe binded na Amri ya mahakama ambapo ni pamoja na kutoa ushahidi kama inavyokupasa
 
Back
Top Bottom