Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Wakuu salaam!
Wakati tukiendelea kumtafuta Paul Makonda a.k.a BASHITE ili akapate haki yake kamili pale Mahakamani iwe kusafishwa mbele ya umma au kupelekwa gerezani.
Yanayoendelea kwenye kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. F. A. Mbowe na wenzake (makomandoo) watatu kwa mashahidi upande wa Jamuhuri ambao ni Askari Polisi wanaendelea kuugulia kizimbani (kama sio kisingizio) na hatima yake ni kutokomea bila kurudi tena kuendelea na Cross Examination kutoka kwa upande wa mawakili wa Utetezi.
Naomba wenye uelewa wa kisheria watueleweshe nini hutokea pale shahidi anapomaliza kutoa ushahidi wake na inapofikia sehemu ya kuutikisa ushahidi wake (Cross Examination) hutokomea gizani kwa kisingizio cha ugonjwa na harudi tena mahakamani.
Karibuni!