Shahidi kutoa Ushahidi wa uongo

Shahidi kutoa Ushahidi wa uongo

konkudeshu

Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
88
Reaction score
73
Msaada wajuzi wa sheria. Nina kesi mahakamani ilikua zamu ya kutoa ushahidi upande wa (A) mlalamikaji kaleta shahidi ambae amesema uongo mahakamani na kala kiapo.

Ushahidi wa yeye kusema uongo ninao na anakili kuwa kapewa pesa.

Nichukue hatua gani msaada tafadhari?
 
Andika kesi yote hapa usaidiwe. Tutajuaje kasema uongo? Tutajuaje aina yako ya kesi. Hatuna A B C tutakusaidiaje?
msaada ninao huitaji ni namna gani ya kufikisha ushahidi nilio nao wa shahidi kusema uongo?
 
Msaada wajuzi wa sheria. Nina kesi mahakamani ilikua zamu ya kutoa ushahidi upande wa (A) mlalamikaji kaleta shahidi ambae amesema uongo mahakamani na kala kiapo.

Ushahidi wa yeye kusema uongo ninao na anakili kuwa kapewa pesa.

Nichukue hatua gani msaada tafadhari?
Hauna wakili anayekusimamia katika kesi yako?kama uko naye mjulishe atajua chakufanya.

Japo sijajua ushahidi ambao uko nao ni wa aina gani(Voicenote,Video au nyaraka),,japo kama unahika juu ya uhalali na ukweli wa taarifa au ushahidi wako siku ya kurudi mahakamani kabla kesi haijaendelea unaweza kuomba Hakimu/Jaji akupe nafasi ya kuongea (sina uhakika na hatua ambayo kesi yako imefikia ila na amini bado haijafika kipindi cha hukumu)
 
ushahidi wa (Video) hukumu bado. pia wakili sina.
 
Back
Top Bottom