konkudeshu
Member
- Oct 16, 2022
- 88
- 73
naichia vipi na ushahidi wa shahidi ninao mimi? nafikishaji huu ushahidi?Iachie mahakama
msaada ninao huitaji ni namna gani ya kufikisha ushahidi nilio nao wa shahidi kusema uongo?Andika kesi yote hapa usaidiwe. Tutajuaje kasema uongo? Tutajuaje aina yako ya kesi. Hatuna A B C tutakusaidiaje?
Kasema uongo vipi? Wewe ndiye unashtakiwa?msaada ninao huitaji ni namna gani ya kufikisha ushahidi nilio nao wa shahidi kusema uongo?
Iache mahakama itoe hukumunaichia vipi na ushahidi wa shahidi ninao mimi? nafikishaji huu ushahidi?
Ndio mimi ndie ninae shtakiwaKasema uongo vipi? Wewe ndiye unashtakiwa?
Kwa kosa gani? Ushihidi huo wa uongo ukoje? Na ukweli ni upi?Ndio mimi ndie ninae shtakiwa
Siku inayofuata ya kesi peleka huo ushahidi wako mbele ya mahakamamsaada ninao huitaji ni namna gani ya kufikisha ushahidi nilio nao wa shahidi kusema uongo?
Hauna wakili anayekusimamia katika kesi yako?kama uko naye mjulishe atajua chakufanya.Msaada wajuzi wa sheria. Nina kesi mahakamani ilikua zamu ya kutoa ushahidi upande wa (A) mlalamikaji kaleta shahidi ambae amesema uongo mahakamani na kala kiapo.
Ushahidi wa yeye kusema uongo ninao na anakili kuwa kapewa pesa.
Nichukue hatua gani msaada tafadhari?
ushahidi wa (Video) hukumu bado. pia wakili sina.Hauna wakili anayekusimamia katika kesi yako?kama uko naye mjulishe atajua chakufanya.
Japo sijajua ushahidi ambao uko nao ni wa aina gani(Voicenote,Video au nyaraka),,japo kama unahika juu ya uhalali na ukweli wa taarifa au ushahidi wako siku ya kurudi mahakamani kabla kesi haijaendelea unaweza kuomba Hakimu/Jaji akupe nafasi ya kuongea (sina uhakika na hatua ambayo kesi yako imefikia ila na amini bado haijafika kipindi cha hukumu)