Shahidi: Mwalimu Mkuu anayedaiwa kumlawiti Mwanangu alimwambia 'ukisema nitakupiga nikuvunjevunje'

Inaumiza sana hii.
 
Siyo kubaka, kalawiti na Ripoti ya Daktari inaonesha mtoto kalawitiwa hadi kuharibika, then unakuja kusema hudhani kama mtoto kaumizwa, like seriously?
Back in days i examined a 6 yrs old F whom her mother claimed she was defiled by his biological father
Technically it was a police case
Kid was raped and defiled yes but not by his father
It happens dunia uwanja wa vita
 
Shida ya haya mambo unaweza kuwaza hivi Hawa watu wana akili kweli , yaani unamnajisi mtoto kweli! .

Lakini katika tafiti zangu ni kuwa kuna issues za ushirikina . Mfano unaweza kuambiwa na mganga ,tafuta mtoto wa kiume ufanye hicho kitendo Mara kadhaa ..kama ni Wa kike unaambiwa mtafute ambaye hajakutana na mwanaume na awe ndugu wa karibu ufanye Naye Hilo tendo . Kwangu Mimi nikionaga waganga wa kienyeji najisikia hata kuwaua kabisa . MUNGU anisamehe Sana kwa mawazo haya mabaya .

Kuna mpangaji wangu aliletaga UPUUZI huu na nilimswaga mapema tu.
 
Mweee! Mie nashindwa kuelewa why watu kama hawa wanafikishwa mahakamani
Maza angemalizana na mtuhumiwa kimafia tu.

Mtoto wa wa miaka 11 tena wa kiume anakuvutia kitu gani, humhurumii.

Watu wa namna hii ni kumalizana nao kimtaa mtaa.
 
Back in days i examined a 6 yrs old F whom her mother claimed she was defiled by his biological father
Technically it was a police case
Kid was raped and defiled yes but not by his father
It happens dunia uwanja wa vita
Yes ni ngumu kuamini mpaka ushuhudie.

Nilipataga msala, nikabahatika kupata dhamana, ila siku ya kesi ikifika nilikuwa nikienda mahakamani nawekwa selo kama washtakiwa wengine.
Nikakutana na jamaa anatuhumiwa kumbaka binti yake, kumbe mkewe kapata mwanaume mwingine lengo lake ni jamaa afungwe achukue nyumba. Jamaa alikuja kuokolewa na ushahidi wa daktari ndo alikanusha (japokuwa hela ya yule mama dokta alikula) jamaa aliachiwa ila akabaki analia tuu.
 
Mambo ni mengi duniani hapa ukiskia kesi yoyote kwenye media usihukumu
 
Haya mambo muda mwingine ni kuyaacha km yalivyo, kuna mengi nyuma ya Pazia.
Kuyaacha kama yalivyo kiaje mkuu? Na mengi nyuma ya pazia kama yapi? Visasi au mtoto ni Biological homo?
 
Kuyaacha kama yalivyo kiaje mkuu? Na mengi nyuma ya pazia kama yapi? Visasi au mtoto ni Biological homo?
Mbna yako zaidi ya hayo. muhimu kila mtu apate haki stahiki kulingana na case husika.
 
Ukiwa mwalimu usipende ukaribu wala mazoea na wanafunzi kabisa.

Pia usipende ukaribu wala mazoea na watoto wa majirani zako.

Anaweza akawa anafokolewa na watoto wenzake halafu akaja kukuangushia jumba bovu wewe
 
Mtoto wa miaka 11 kufanyiwa ukatili wa kiasi hicho na isigundulike mapema kuna tatizo kati yake na wazazi/ walezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…