Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Mambo mengine ni kama Mungu kaamua kuwaumbua watesi wa Lissu hadharani.
Leo katika hali ya kushangaza shahidi wa upande wa serikali baada ya kuulizwa je bwana Luhaga Mpina angeweza kupata Haki yake kikatiba ya kugombea urais hasa ukizingatia watoa maamuzi ni majaji walioteuliwa na Rais ? Bwana shahidi alijikuta akiropoka mahakamani kuwa hilo lisingewezakana kamwe.🤣
================
TUNDU Lissu , Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeshtakiwa kwa uhaini katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, amekimuuliza maswali ya dodoso shahidi wa pili wa serikali (John Kaaya) alimuuliza kama angewezekana mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo Luhaga Mpina apate haki kwenye mahakama ambayo majaji ni wateule wa rais na ndio mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) shahidi huyo akajibu isingezekana.