Waislamu wamekataa kutumika kijinga wanazingatia mwezi mtukufu dhambi wamemwachia Katuga asiye na imani! Hongereni waislamu kwa kuikimbia dhambi ya kushuhudia uongo kwa malipo kiduchuItakuwa mkiristo huyo tu. Au nasema uongo?
Ntakua nimesha lewa na nilivyo choka na kazi jioni napiga zangu konyagiiii ndogo mbili naenda kujumuika na familia mpaka saa 4 kulala 😊basi nitaingia usiku mida ya wanga kama utakua active
basi siku nyingine sameja wanguNtakua nimesha lewa na nilivyo choka na kazi jioni napiga zangu konyagiiii ndogo mbili naenda kujumuika na familia mpaka saa 4 kulala 😊
Poa poa ngoja tuchekiibasi siku nyingine sameja wangu
Wakuu,
Huyu Shahidi mwanzoni alisema kuwa anaishi Moshi Kiranyi. Lissu akamuuliza kuwa nani kampa nauli ya kuja kutoa ushahidi kwenye hiyo kesi, akasema kuwa hiyo nauli kapewa na mwanamke wake na ndo ambaye anamuweka mjini
Mhe. Lissu: Umekujaje Mahakamani leo?
Shahidi wa kificho P7 : kwa miguu
Mhe. Lissu: Toka kiranyi?
Shahidi wa kificho P7 : Kwa Basi.
Mhe. Lissu: Nani alikupa nauli?
Shahidi wa kificho P7 : Mwanamke wangu.
Mhe. Lissu: Nani anayekuweka mjini hapa?
Shahidi wa kificho P7 : Mwanamke wangu.
Mhe. Lissu: Je tangu walipoandika maelezo yako Polisi tarehe 17/04 mmekuwa mnawasiliana na Mapolisi
Shahidi wa kificho P7 : Hatujawahi kuwasiliana tena.
Mzee wa konyagi ndogo,leo unapiga mbili badala ya moja?Ntakua nimesha lewa na nilivyo choka na kazi jioni napiga zangu konyagiiii ndogo mbili naenda kujumuika na familia mpaka saa 4 kulala 😊
Nimeanza kuona moja hainogii kabisaa ila naogopa maana level imeanza kusogea 😊☺️Mzee wa konyagi ndogo,leo unapiga mbili badala ya moja?
PIga basi ile ya kati mkuu😀Nimeanza kuona moja hainogii kabisaa ila naogopa maana level imeanza kusogea 😊☺️
Siiwezi ile Mimi ni ile ndogo moja then nikiongeza labda nisiimalize ndugu...PIga basi ile ya kati mkuu😀
unaogopa wakati wew ni mlevi tayali,, ila watu😅😅😅Siiwezi ile Mimi ni ile ndogo moja then nikiongeza labda nisiimalize ndugu...
NAOGOPA SANA KUJA KUWA MLEVIIIIII KWA KWERIIIII..
Nina mwanangu,anapiga kubwa mbiliSiiwezi ile Mimi ni ile ndogo moja then nikiongeza labda nisiimalize ndugu...
NAOGOPA SANA KUJA KUWA MLEVIIIIII KWA KWERIIIII..