Kila kitu kizuri kinasifiwa
Kwa kweli hizi ni zama zake haswaa Ila kumlinganisha na ulie mtaja hapo hata yeye mwenyewe sharuku atashangaa
Ungekua enzi zetu uyo ni kawaida saana
Maana kulikua na watasha mnoo
Ukibisha ntarud na orodha 😎
Ukiacha muvi za zamani za india movu za kizazi kipya ninazozielewa ni 3idiots na kwambaaali slum dog millionaire
Hiyo 3 idiots nimeshaingalia karibu mara 20 bonge la movieUkiacha muvi za zamani za india movu za kizazi kipya ninazozielewa ni 3idiots na kwambaaali slum dog millionaire
Best of all time movie...unacheka, unafurahi, unahuzunika, unalia, unajifunza, unaelimika, unahamasika, na mwisho kabisa unakua motivated na maisha... haya yooote unayapata kwenye movie moja,sio masiara aisee!!Hiyo 3 idiots nimeshaingalia karibu mara 20 bonge la movie
Miongoni mwa filamu bora za Amir KhanBest of all time movie...unacheka, unafurahi, unahuzunika, unalia, unajifunza, unaelimika, unahamasika, na mwisho kabisa unakua motivated na maisha... haya yooote unayapata kwenye movie moja,sio masiara aisee!!
Miongoni mwa filamu bora za Amir Khan
Hii inahusu nini mkuu?Aamir ana filamu nyingi za kibingwa sana, Kuna moja inaitwa Talaash yani acha kabisa
Hii inahusu nini mkuu?