Shahrukh Khan anakwenda kupiga Hattrick yakibabe kuwahi kutokea kwenye Filamu Bollywood

Shahrukh Khan anakwenda kupiga Hattrick yakibabe kuwahi kutokea kwenye Filamu Bollywood

Farhan Akhtar baada ya kugomewa na SRK alitakiwa aiue tu hiyo filamu, ila kulazimisha kuiendeleza na kuttutatia kilaza ameharibu sana
Nasikia wali pishana malipo, na jinsi story ya filamu inavyo paswa kuwa.

Beside, nasubiri kick 2, bun ya Salman Khan,
 
Nasikia wali pishana malipo, na jinsi story ya filamu inavyo paswa kuwa.

Beside, nasubiri kick 2, bun ya Salman Khan,

Siamini kama ni suala la malipo, Mara nyingi SRK hua hacharge malipo kwenye filamu ila anachukua Share kwenye Profit mara nyingi ni 50% mpaka 60%. Siamini kama Farhan angekataa hilo mana anafahamu nguvu ya SRK kwenye mauzo. napia kuhusu hakuridhika script pia siliamini vizuri mana filamu kama pathan yenye story ya kawaida tu ameweza kucheza ataachaje story inayotengenezwa na mtu genius kama Akthtar, mini nahisi ni kuwa SRK aliona aachane nayo tu mana Don Multiplex film, Nayeye kwa sasa ameamua ku forcouse na filamu zinazoweza ku work kwenye both multiplex na Single screens.
 
Nasikia wali pishana malipo, na jinsi story ya filamu inavyo paswa kuwa.

Beside, nasubiri kick 2, bun ya Salman Khan,

Kick 2 wamekabidhi director kutoka South yule Jamaa aliyetengeneza Ghajni ya Aamir Khan, Jamaa yupo vizuri, hata filamu yakr ya Akira ya Sonakshi ilikua ipo poa sana. I just hope wamrejeshe Fernandez nitafurahi sana. huyu binti mambo yamemvurugikia sana.
 
Siamini kama ni suala la malipo, Mara nyingi SRK hua hacharge malipo kwenye filamu ila anachukua Share kwenye Profit mara nyingi ni 50% mpaka 60%. Siamini kama Farhan angetaa hilo mana anafahamu nguvu ya SRK kwenye mauzo. napia kuhusu hakuridhika script pia siliamini vizuri mana filamu kama pathan yenye story ya kawaida tu ameweza kucheza ataachaje story inayotengenezwa na mtu genius kama Akthtar, mini nahisi ni kuwa SRK aliona aachane nayo tu mana Don Multiplex film, Nayeye kwa sasa ameamua ku forcouse na filamu zinazoweza ku work kwenye both multiplex na Single screens.
Labda mkuu, ngoja tusubiri kazi za Akshay Kumar. Ana houseful 4, na nyingine Kama 2.
 
Kick 2 wamekabidhi director kutoka South yule Jamaa aliyetengeneza Ghajni ya Aamir Khan, Jamaa yupo vizuri, hata filamu yakr ya Akira ya Sonashi ilikua ipo poa sana. I just hope wamrejeshe Fernandez nitafurahi sana. huyu binti mambo yamemvurugikia sana.
Fernandez kweli kapotea, hata bebo(Kareena )nae Chali, huenda houseful 4 ita mrudisha.

Mimi mpk namaindi Deepika kuwepo kila movie Kali aisee, kwani kina Katrina Kaif, au hata wale mabinti wa kwenye student of the year , mbona ni wazuri tu
 
Bebo bado anaupiga mwingi sana, Mwka jana alitoa filamu safi sana Jaane Jaan, mwaka huu anazo nyengine 3
 
Movie zao za kichoko sana ukiangalia ukiwa na Pesa mfukoni🤣
 
Kick 2 wamekabidhi director kutoka South yule Jamaa aliyetengeneza Ghajni ya Aamir Khan, Jamaa yupo vizuri, hata filamu yakr ya Akira ya Sonakshi ilikua ipo poa sana. I just hope wamrejeshe Fernandez nitafurahi sana. huyu binti mambo yamemvurugikia sana.
Ghajini aisee...umenikumbusha mbali na muvi tamu sana
 
Back
Top Bottom