Shairi kwa miss Demi

Watu wanachati tu ila sidhani Kama wamesoma shairi na kulielewa vizuri,hayo magongo ndo mwisho wasiku mnakuja kuuliana na hiyo mizigo mtaitua tu..πŸ˜‚
 
Mashairi mazuri mnooo Demi mpe nafasi ndugu yetu.
 
Haa haa aongeze nini? Kama fedha tutamchangia wanajamii.Mpaka katunga mashairi huu upendo kutoka moyoni kabisaa.
Mashairi matupu?😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…