Shairi kwa miss Demi

Shairi kwa miss Demi

Mapema yote hii hata hajui kama ombi limekubaliwa au[emoji1787][emoji1787]
Shunie si ndivyo tulikubaliana kwenye kikao cha wanawake.... mwanamke bongo ukitongozwa tu njaa inauma, simu inaharibika, nywele zinafumuka, kodi inaisha, gas inaisha😁😁
 
Shunie si ndivyo tulikubaliana kwenye kikao cha wanawake.... mwanamke bongo ukitongozwa tu njaa inauma, simu inaharibika, nywele zinafumuka, kodi inaisha, gas inaisha[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani tunakuwa yatima ghafla
 
Shunie si ndivyo tulikubaliana kwenye kikao cha wanawake.... mwanamke bongo ukitongozwa tu njaa inauma, simu inaharibika, nywele zinafumuka, kodi inaisha, gas inaisha😁😁
kwakuwa mahaba kipigo ni radhi kinisumbuwe, nadata kwa yake mapigo, yote mimi anituwe
 
kwakuwa mahaba kipigo ni radhi kinisumbuwe, nadata kwa yake mapigo, yote mimi anituwe
Mmh we shemeji marafiki wa baby wako hatukuelewi kabisa, yani hatujakuelewa....kwa mwendo huu tukimwaga sumu humu penzini usituone wanga
 
Back
Top Bottom