Shairi la wafanyakazi kabla ya Mei Mosi 2024

Shairi la wafanyakazi kabla ya Mei Mosi 2024

FATHER OF HISTORY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
915
Reaction score
638
EWE KIKOKOTOO NI NANI?

1:Nauliza Mimi ,Ebu nipeni majibu,
Kikotoo kinajaliwa,Hakipati Majibu,
Ewe Kikokotoo ni nani?

2:Watu wanakufa, Wanapooza,
Hutaki kujibu,huna Huruma,
Ewe Kikokotoo ni nani?.

3: Kikokotoo umekuwa Sugu, hujadiliki,Hutaki suluhu,
Ewe Kikokotoo ni nani?

3:Ajira imekuwa chungu,Haina manufaa,
Hailei familia ya baadae,inatia hofu,
Ewe Kikokotoo ni nani?

4:Yalikuwako mambo Sugu, Umeme,maji,ajira,
Tozo zikawekwa, suluhu ikapatikana
Kwa Kikokotoo hapana,
Ewe Kikokotoo ni nani?

5: Kikokotoo u mbishi, huogopi,
Wabunge,mawaziri,mpaka juu,
Hawakukemei,wanakuoamba,
Ewe Kikokotoo ni nani?

6: Wabunge 300+,Hawana suluhu,
Hawana majibu,Hawana Kauli,wanakuoamba,
Ewe Kikokotoo ni nani?

7:Hawakusemi vibaya,wanakusifia,
Ukweli waujua ,ila wakuogopa,
Ewe Kikokotoo ni nani?

8:Wizi umeshamiri,ufisadi juu,
Wafidia Kikokotoo,punde wastafu,
Huduma za jamii za dorora,kisa Kikokotoo,
Ewe Kikokotoo ni nani?

9:Rais uza mgodi mmoja,fidia Kikokotoo,
Weka tozo pahala,okoa wastafu, utumishi si adhabu,
Ewe Kikokotoo ni nani?

10:Ewe mama,tafuta takwimu,
Wangapi waathirika, ondoa Kikokotoo,

Hakuna dhambi Kwa hilo,umefanya mengi,bodi ya mikopo, nk,washindwa Nini Kikokotoo?
Natamatisha Kwa kusema,wanakufa watu,wanapata ulema watu, wanafamilia,wana ndugu,fanya Kitu mama,kanuri lako lije lipambwe maua ya Heri.
Asante
 
Mchawi ni TUCTA Wala hawana shida na wafanyakazi
 
Back
Top Bottom