Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 893
- 1,021
MKO WAPI MPENDAO ?
1. Hayapo tena mahaba
Ja alivyosema Kiba
kila mahali msiba
Mko wapi mpendao ?
2. Wasasa ni vibweka
Amani ni heka heka
Si mbwa ila wabweka
Mko wapi mpendao ?
3. Kupendwa ni lengo lao
Kupenda si hoja yao
Starehe maisha kwao
Mko wapi mpendao ?
4. Tokezeni mpendao
Hadi kwenye Mtandao
Tuwe na bora uzao
Mko wapi mpendao ?
Abuuabdillah ✍️
0744883353
1. Hayapo tena mahaba
Ja alivyosema Kiba
kila mahali msiba
Mko wapi mpendao ?
2. Wasasa ni vibweka
Amani ni heka heka
Si mbwa ila wabweka
Mko wapi mpendao ?
3. Kupendwa ni lengo lao
Kupenda si hoja yao
Starehe maisha kwao
Mko wapi mpendao ?
4. Tokezeni mpendao
Hadi kwenye Mtandao
Tuwe na bora uzao
Mko wapi mpendao ?
Abuuabdillah ✍️
0744883353