Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Tuli mwambia hakusikia!
Hamdu Shaka, hivi kazi yako haswa ni nini, kumsifia Rais Samia au kuelezea Itikadi ya CCM?
Tusije jisahau kuwa chama chetu cha CCM ni chama cha wananchi, zamani tukiita Wakulima na Wafanyakazi. Yametokea mabadiliko mengi katika misimamo ya chama kiasi ambacho watendaji ndani ya chama ni kama wanakengeuka katika misimamo yao kiutendaji. Alipoingia mzee Abdulrahman Kinana ingalau...www.jamiiforums.com
[mention]Jidu La Mabambasi [/mention] mkuu nakutafta nina shida na ww