Shaka asema CCM inaridhishwa na uimarishwaji wa sekta ya habari nchini

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
SHAKA ASEMA CCM INARIDHISHWA NA UIMARISHWAJI WA SEKTA YA HABARI NCHINI

Hayo yameelezwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha Jambo Tanzania, Mikocheni Jijini Dar es Salaam Leo Jumanne 19 Aprili, 2022.

#CCMImara
#KaziIendelee

Your browser is not able to display this video.
 
Uuanganishe huu uzi na ule wa MMkt wake iliangalau kuongezea idadi ya wachangiaji.
 
SHAKA ASEMA CCM INARIDHISHWA NA UIMARISHWAJI WA SEKTA YA HABARI NCHINI

Hayo yameelezwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha Jambo Tanzania, Mikocheni Jijini Dar es Salaam Leo Jumanne 19 Aprili, 2022.
Your browser is not able to display this video.

#CCMImara
#KaziIendelee
 
Mtoto mchele mchele
Laini laini,rojo rojo.
 
Hivi akili yake iko sawa kweli

USSR
 
Hv hiyo TBC2 itaajiri wafanyakazi wapya au ni walewale wa TBC1.?
 
Kuna siku aliwahi kusem hawaridhishwi? Siku zote wanaridhishwa!
Hivi lini vijana wa nchi hii wataachana na unafiki na kukumbatia ukweli?
 
Hata hali ngumu ya uchumi na bosi wake kutamka hadharani vitu vitapanda tu bei pia atoe kauli aliridhishwa na kauli ya Hangaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…