Sawa mjane. Umeamua kuja na hii ID nyingine baada ya Kinuju kupimga Ban?Chadema watapinga
Kazi iendelee kwa kasi, Hongera Sana ShakaKatibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM.
View attachment 2013338
Katibu wa nec itikadi na uenezi wa ccm, shaka hamdu shaka, leo tarehe 16 novemba 2021, amewahakikishia wanananchi wa halmashauri ya wilaya ya geita mji kuwa, serikali inayoongozwa na rais samia suluhu hassan, itatekeleza ahadi zote zilizoahidiwa katika ilani ya ccm ya mwaka 2020-2025.
#ChamaImara
#KaziIendelee
Huyu bwana anawapa shida sana CHADEMA TzKatibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM.