Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais wa kweli basi ni sasa, Mungu tujalie heri kuelekea 2025|30
 
Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais wa kweli basi ni sasa, Mungu tujalie heri kuelekea 2025|30
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli pamoja na Wasaidizi akina Shaka nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Hivi nani anawaloga nyie ccm hadi neno kufikiri au kutumia akili inakuwa msamiati kwenu?
Haya yote yalitendeka wakati wa chama gani?
Utawala si ndio huu huu ukiondoa mwendazake?
Jeshi, mahakama, na vyombo vyote viongozi si walewale?
Sasa mnakwepaje hapa? Hebu tumieni akili mnakera sana!
 
Sasa unalalamika nini mkuu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Shaka Hamdu Shaka ni Mzalendo sana,
 
Shaka jembe sana
 
Haya ni maajabu ya mwaka mmoja wa Mama,

Vipi akimaliza kumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…