Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

Sifa kuu ya kuwa mwana ccm hasa kiongozi ni kukosa haya na kujitoa fahamu. Pole shaka. Yana mwisho. Hata jiwe na rais wa chuma kweri kweri yalipita. Hamjifunzi tu?
Haha hapa polepole kidogo hakuwa hivi

Nadhani wabadili
 
Huyu tangu lini amekuwa ni msemaji wa Kudemka?

"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo...
 

Kiongozi mchapakazi ni Shaka,

Kiongozi mwadilifu ni Shaka,

Kiongozi mpenda demokrasia ni Shaka,

Kiongozi mpenda amani ni Shaka,

Kiongozi msikivu ni Shaka,

Kiongozi mpenda chama ni Shaka,

#SHAKAKAMASHAKA NI JEMBE
 
Haha hapa polepole kidogo hakuwa hivi

Nadhani wabadili
Unataka na Shaka aanze kupoteza watu ndio uone anafanya kazi?

Mnataka aseme chama kina V8 ndio muone anafanya kazi?

Acheni kumfananisha Shaka na vitu vya ajabu ajabu,
 
Wanacheka jino pembeni,moyoni wanasononeka
Nalog off
 
Chadema tangu lini mkawasaidia CCM kutafuta viongozi bora ?

Shaka kama Shaka tunamwandaa kwa nafasi ya juu kabisa miaka ya mbeleni,

Niswala la muda tu,

SHAKA PIGA KAZI HAWA MERCENARIES WASIKUTISHE,
 
Wanacheka jino pembeni,moyoni wanasononeka
Nalog off
HAPA TATIZO NI UKATIBU WA UENEZI TU,

HAYA MAMBO KUPOKEZANA TU,

KUTWA KUMSHAMBULIA SHAKA UTADHANI ALIJITEUA,

MNYONGE MNYONGENI SHAKA HUWEZI KUMFANANISHA NA VITU VYA HOVYOHOVYO,
 
HAPA TATIZO NI UKATIBU WA UENEZI TU,

HAYA MAMBO KUPOKEZANA TU,

KUTWA KUMSHAMBULIA SHAKA UTADHANI ALIJITEUA,

MNYONGE MNYONGENI SHAKA HUWEZI KUMFANANISHA NA VITU VYA HOVYOHOVYO,


Waendelee na shule ya Uongozi,
Au mnataka na Shaka awe Mwl?

CCM TUNAIMANI KUBWA SANA NA SHAKA
 
HAPA TATIZO NI UKATIBU WA UENEZI TU,

HAYA MAMBO KUPOKEZANA TU,

KUTWA KUMSHAMBULIA SHAKA UTADHANI ALIJITEUA,

MNYONGE MNYONGENI SHAKA HUWEZI KUMFANANISHA NA VITU VYA HOVYOHOVYO,
Mimi nawashambulia wateuaji na wateuliwa. Wanajifanya kufurahia hayo yatendekayo mahakamani kumbe wanaumia moyoni,maana hawakupendezwa na watazamaji kuwepo hapo kwenye hiyo kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…