Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

Ndugu yangu mwana kulitafuta,acha alipate.
 
"Wakuu wa wilaya
Wakurugenzi na
Wakuu wa mikoa wengi wao ndio waliopost 2025 Samia tano tena 😄😄.!"

Ni nini faida ya katiba kumpatia madaraka Rais kuteua wakuu wa wilaya, wakurugenzi,wakuu wa mikoa nk.

Tunahitaji elimu ya kiwango gani kulitambua hili ombwe lililopo katika katiba 🤦🤷
 
Mzee unafahamu maana ya Uenezi,??
Au nawewe umelogwa kama wenzako,
Shaka ndio engine ya chama, Katibu Mkuu ni rejeta ya Shaka,

Shaka anatakiwa kufunguka ndio msemaji wa Chama,

Falsafa ,itikadi,misimamo ,mwelekeo lazima ziwe kwenye fingertips
Hakuna kitu kama hicho. Eti shaka ndio engine ya chama katibu mkuu radiator? 😂Tafsiri ya wapi hiyo? 🤔
 
CCM wanaruhusiwa kufanya siasa ila vyama vingine viko mahakamani kupigania uhuru wake.

Nchi imekuwa ya kipuuzi sana hii.
 
Mwanamke wa kwanza kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa la 76 tangu tupate uhuru ni Mama Samia Suluhu Hassan,

We Proud on you Mama
_________________________

 
[|Kazi anazofanya Rais Samia zinaacha alama kwa kikazi hiki na kizazi kijacho,

Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…