Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

Mimi nakubali achofanya huyu mwamba,
 
Mwamba
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
#happy birthday Tanganyika
 
#happy birthday Tanganyika
 
No, mesage siyo kuisifu Mahakama, soma tena. Message kubwa hapa ni kuwakumbusha CHADEMA kuwa Mahakama yetu ni huru siku zote tangu zamani, kwamba Mahakama yetu ni huru zaidi kwa kuruhusu simu jambo ambalo Mahakama za mabeberu haliruhusiwi.
 
Sasa hoja yako inatofauti gani na ya mwandishi?
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania,

#Endeleeni kumsaidia Mama
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…