Shaka Hamdu Shaka atoa mwelekeo mpya wa Chama Cha Mapinduzi sekta binfsi nchini

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
Hakika Chama Cha Mapinduzi kina hazina ya viiongozi mahiri na hodari sana ndani na nje ya Tanzania,

Toka enzi za Mhe Nape Nauye, Humphrey Polepole na Sasa Shaka Hamdu Shaka hakika wenezi hawa
wanakitendea|walikitendea haki Chama cha Mapinduzi na Taifa kwa ujumla wake,

HEBU SIKILIZA NA ANGALIA JINSI KATIBU WA NEC ITIKADI & UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA ALIVYOFAFANUA KUHUSU UTAYARI WA SERIKALI YA CCM INAYOONGOZWA NA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KUONDOA VIKWAZO VINAVYOKWAMISHA UFANISI WA SEKTA BINAFSI NCHINI.


>>>Msikilize hata mwisho <<<

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu Mwamba anajitahidi sana,Tunawapingeza wote,

Nape,
Polepole
Shaka
 
Shaka fanya kazi,

Usisikilize watu,

Chapa kazi

#KAZIIENDELEE
 
Huoni aibu?!

Maana umebaki peke yako unayeteseka usiku na mchana kuupigia debe Utawala huo uliofeli!

Una habari petrol lita ni 2752 huku Ngara ewe mwana hizaya?!
 
Huoni aibu?!

Maana umebaki peke yako unayeteseka usiku na mchana kuupigia debe Utawala huo uliofeli!

Una habari petrol lita ni 2752 huku Ngara ewe mwana hizaya?!
Unamaana gani?
 
Chief,hili la upandaji mafuta ni la Dunia mzima ukiondoa nchi zinazozalisha. Hata Marekani imeachia pipa milioni 50 ili kupunguza makali ya bei. Nchi za Ulaya pia zimefuata mkondo huo. Jenga mazoea ya kutafuta habari na taarifa mbalimbali Ulimwenguni. Sio kila kitu kulalamika.

Tukirejea kwenye mada, CCM imepata kijana mwenye busara, ingawa amewekwa na kina Pole pole,mie naamini uwezo na uelewa wake wa Chama ni mkubwa tofauti na Polepole ambaye hakuwahi kuwa hata Mwenyekiti wa tawi.
Huoni aibu?!

Maana umebaki peke yako unayeteseka usiku na mchana kuupigia debe Utawala huo uliofeli!

Una habari petrol lita ni 2752 huku Ngara ewe mwana hizaya?!
 
Umejibu vizuri Sana kiongozi
 
Shaka ni hazina kwa Taifa, Niswala la muda tu,
Sekta binafsi tufanyeni Kazi kwa bidii
 
CCM tunajivunia huyu mwamba, Sekta binafsi lazima ipepewe
 
CCM CHAMA
 
Akiweza kufungua sent a binafsi ataachq legacy kubwq
 

Kaziiendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…