Shaka Hamdu Shaka atoa mwelekeo mpya wa Chama Cha Mapinduzi sekta binfsi nchini

Nani atapoteza bundle yake kusikiliza utapeli wa kijinga?
 
Usidanganye watu. Bei kubwa ya dizeli Tanzania, kwa kiasi kikubwa inasababishwa na kodi zinatozwa na serikali na taasisi zake.

Karibia 50% ya pesa unayolipa kwa kila lita ya mafuta (dizeli na petroli) inaenda serikalini na kwa taasisi zake, kama kodi. Leo hii serikali ingeondoa kodi zote kwenye mafuta, bei ingekuwa nusu ya hiyo unayoiona. Kama serikali ingrlekuwa na watu wenye weledi, angalao kodi kwenye mafuta ingeshushwa mpaka 25? Unafuu kwenye mafuta ungeleta faida kubwa kuliko kodi ambazo serikali inazikusanya moja kwa moja kutoka kwenye mauzo ya mafuta. Kwa kuwa serikalini wamekosekana watu wenye weledi, tunaishia kuweka kodi nyingi na kubwa kwenye nishati bila kutambua kwa kufanya hivyo tunaua maendeleo ya sekta zote.
 
Ni muda wake kusifiwa ili mpate teuzi siku utawala ukibadilika mtakuja na nyuzi za kumponda katibu wa itikadi na uenezi
 
Halafu dawa tunanunua kwa pesa zipi kwa mfano?,,
Mafuta yamepanda bei dunia nzima, mpaka US wametoa akiba yao kujaribu kufloat soko, baada ya waarabu kugoma kuongeza uzalishaji
 
Halafu dawa tunanunua kwa pesa zipi kwa mfano?,,
Mafuta yamepanda bei dunia nzima, mpaka US wametoa akiba yao kujaribu kufloat soko, baada ya waarabu kugoma kuongeza uzalishaji
Nakubaliana na wewe 100%√
 
Kaziiendelee kwa kasi zaidi
 
Kaziiendelee kwa kasi zote
 
Wewe jamaa unakuwaga vizuri sana
 
😍
 
Komredi Shaka Hamdu Shaka ni HAZINA ya taifa letu......

Tuko naye leo kesho na siku za usoni💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…