Shaka Hamdu Shaka atoa mwelekeo mpya wa Chama Cha Mapinduzi sekta binfsi nchini

Dhambi ya kuwa upande na magu imeandikwa kwa wino wa chuma kama ya yuda ,tutazuia njia yake maisha
 
Mama aluta continue
 
 
Isiwe tu rahisi kwako kusema kodi kwenye mafuta itolewe au ipunguzwe, pendekeza na mchanganuo wa namna ya kufidia hilo gap. Uchumi haujawahi kuwa rahisi hivyo. Kama Tanzania bei iko juu sababu ya kodi, nini sababu ya bei kuwa juu Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi au hata huko Marekani kiasi cha Rais wa nchi kuacha mafuta yao ya akiba?
 
Mfano wastani ya bei ya Petrol sasa Zambia kwa litre ni Tsh 2,071. Wao wanatoa wapi mafuta?

 
Kuna watu wameajiriwa kwa kazi hizo, wana degree hadi 5, hata per diem yao ni 350,000/= per day. Tukitoa mawazo sisi wa darasa la 7 nani atatusikia.
 
Halafu dawa tunanunua kwa pesa zipi kwa mfano?,,
Mafuta yamepanda bei dunia nzima, mpaka US wametoa akiba yao kujaribu kufloat soko, baada ya waarabu kugoma kuongeza uzalishaji
Mfano wastani ya bei ya Petrol sasa Zambia kwa litre ni Tsh 2,071. Wao wanatoa wapi mafuta? Wao hawanunui dawa? Dawa lazima zinunuliwe toka mafuta?

 
Kuna watu wameajiriwa kwa kazi hizo, wana degree hadi 5, hata per diem yao ni 350,000/= per day. Tukitoa mawazo sisi wa darasa la 7 nani atatusikia.
Ndio wao wamefanya wamefikia hapo. Wewe darasa la 7 ndio uwanja wako wa kuondoa unyonge kwenye kutoa mapendekezo bora ya mfumo wa kodi ya mafuta.
 
Nyote ni takataka tu.
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

KAZI NZURI SHAKA

#MAMA KAZIIENDELEE
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania,

#Endeleeni kumsapoti Mama,
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…