Shaka Hamdu Shaka atoa mwelekeo mpya wa Chama Cha Mapinduzi sekta binfsi nchini

Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Sekta binafsi ni wapigaji inatakiwa kazi zipelekwe kwenye majeshi yetu. kule ndio kuna wataalamu wengi wazalendo πŸ’
 
Tujifunze kutoa taarifa sahihi. Ni kweli katibu mwenezi katamka hivyo lakini hiyo kauli ni ya ccm na wala siyo yake. Kwamba ccm kimesema ... na hayo yamesemwa na mwenezi n.k.
 
Bila CCM nchi hii itayumba na kuanguka kabisa
 
Mtu na nusu,
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…