World light
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 382
- 352
Ndio ujue sasa kila mtu ni CCM,Wenye akili zao, unaingia maabara unatengeneza kirusi chenye sumu kali sana unakitupa mtaani. Unakitengenezea mfumo wa kuvamia akili ya mtu na kutambua mrengo wake wa kisiasa, kikikuingia kika-detect wewe ni CCM kinamwaga sumu kali ya kuua na kukausha ndani ya dakika kumi alafu kinarukia mtu mwingine kwa mfumo wa hewa. Mbona kuna mikoa itabaki na watu wasio zidi mia.
Lucas mwashambwa umetumia na hii ID huku? Safi... Pia usiwe unamsahau shaka. Atakusaidia sana kufika huku tuliko. Pambana dogo...kwa namna zote alizokushauri.View attachment 2379607
View attachment 2379609
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kimkoa zilizofanyika Wilaya ya Kilosa Oktoba 4, 2022
😂😂😂Wewe CHADEMA mambo ya CCM yanakuumiza nini?Lucas mwashambwa umetumia na hii ID huku? Safi... Pia usiwe unamsahau shaka. Atakusaidia sana kufika huku tuliko. Pambana dogo...kwa namna zote alizokushauri.
Daaah.... Yamekuwa hayo tena ndugu yangu? Mi siyo chadema. Chadema hailipi....mimi kada mwenzio..sema angalau mimi nipo sehemu ya juu kidogo. Anyway....tuendelee kupigania chama chetu dogo. Ile ID nyingine nayo iwe active mi na record mabandiko.😂😂😂Wewe CHADEMA mambo ya CCM yanakuumiza nini?
Safi sana kada, Shaka ni jembe sana,Daaah.... Yamekuwa hayo tena ndugu yangu? Mi siyo chadema. Chadema hailipi....mimi kada mwenzio..sema angalau mimi nipo sehemu ya juu kidogo. Anyway....tuendelee kupigania chama chetu dogo. Ile ID nyingine nayo iwe active mi na record mabandiko.
Kabisa.... Sisi kwa sasa tuendelee kulamba asali tu. Nawe pambana dogo huku juu maisha matamu....Safi sana kada, Shaka ni jembe sana,
CHADEMA majizi tu aise,
Hakika Apewe tu bila shida maana sote tunaona namna alivyo na kiu ya maendeleo, sote tunaona alivyombunifu na Aliyejaa moyo wa upendo na uzalendo mkubwa Sana kwa Taifa letu, Shaka Ni Hazina kwa CCM yetu inayopaswa kutumiwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi hasa kwa kupewa nafasi ya juu kabisa ya kiuongozi Kama ulivyopendekezaHuyu apewe tu Urais wa Zanzibar baada ya Mwinyi anafaa Kuwa Kiongozi mkubwa wa nchi
Mkuu i salute you, unaongea point point tuHakika Apewe tu bila shida maana sote tunaona namna alivyo na kiu ya maendeleo, sote tunaona alivyombunifu na Aliyejaa moyo wa upendo na uzalendo mkubwa Sana kwa Taifa letu, Shaka Ni Hazina kwa CCM yetu inayopaswa kutumiwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi hasa kwa kupewa nafasi ya juu kabisa ya kiuongozi Kama ulivyopendekeza
Huyu bwana ni Rais ajae note my words,View attachment 2379607
View attachment 2379609
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kimkoa zilizofanyika Wilaya ya Kilosa Oktoba 4, 2022
Huyu kijana ni kada active sana AiseMkuu i salute you, unaongea point point tu
View attachment 2379607
View attachment 2379609
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kimkoa zilizofanyika Wilaya ya Kilosa Oktoba 4, 2022
Umeandika nini hapa Chawa, Hujaelewa wapi hapo?Ila CCM mna maigizo ya kishamba ile mbaya. Sasa hapo kupeana tuzo ndio nini, au wako kimapenzi mpaka wanahamishia mahaba yao kiserikali?
Umeandika nini hapa Chawa, Hujaelewa wapi hapo?