Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀
Huyu mla rushwa anapewa tuzo?View attachment 2379607
View attachment 2379609
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kimkoa zilizofanyika Wilaya ya Kilosa Oktoba 4, 2022
Labda Rais kwa mumeoHuyu bwana ni Rais ajae note my words,