Shaka Hamdu Shaka: CCM haitavumilia wananchi kubambikwa kesi

Gaidi mkuu kuna ujumbe wako huku
 
Mimi nilikuwa nikweli KUMBE NI KWASABABU YA KAMPENI.HONGERA MLETA MADA
 
Unamaanisha CCM haitakiwi kuwa na wazalendo,
Kama walikuwepo ila hawakuwabadilisha hao waliopo naamini sasa hao "wazalendo" nao watakuwa wamejiunga na wezi wengine waliojazana huko.
 
Kama walikuwepo ila hawakuwabadilisha hao waliopo naamini sasa hao "wazalendo" nao watakuwa wamejiunga na wezi wengine waliojazana huko.
Hivi kunachama kinawezi kama Chadema duniani?

Kunachama wasaka fursa kama chadema duniani?

Kunachama cha maasi kama chadema duniani?
 
Huyu bwana naona atarudisha heshima ya CCM Tanzania
Asiishie hapo hao polisi wakamatwe maramoja,
Hawa wanamchonganisha Rais na wananchi wakamatwee na wafukwe kabisa
πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ
 
nimepita hapo ofisi zenu kahama mkiwa na askari na magari ya serikali mkashinde bila kupingwa maana hatuna mpango kushiriki chaguzi zenu za kibabe. jimbo la ushetu.

na polisi wenu
 
Chama kianzishe kitengo cha malalamiko ya wananchi Ili uonevu ukitokea waende kutoa taarifa kwenye chama alafu wahusika wachukuliwe hatua.
 


Pacha pull up,

Nakusalimu kwa Jina la JMT

Shaka ni mtu na nusu

Naona ziara imeng'oka na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…