Shaka Hamdu Shaka: CCM haitavumilia wananchi kubambikwa kesi

Shaka ni kiongozi muungwana sana
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Ndio
 
KAZIIENDELEE
 
Shaka
 
"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi
Naisikia sauti ya Mbowe ikisema kwa ushupavu, nanukuu " Polisi wanatutendea yasiyo mema kwa sababu tu ni chama cha upinzani, nawakikishieni wakimaliza na sisi wataanza na ninyi" mwisho wa kunukuu!! #Mbowesiogaidi
 
 
Chuma kama chuma
 
Humu wilayani unatishiwa kulazwa ndani wakitaka chochote saa ingine aibu unaina wewe unaetaka kiwekwa ndani
 
Kazi iendelee
 
Shaka ni mtu na nusu,
 
Wewe umebambikwa kesi gani?
 
CCM wanakiri polisi kubambika kesi watu hadharani? kumbe issue ya Mbowe ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…