Shaka Hamdu Shaka: CCM haitavumilia wananchi kubambikwa kesi

"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Kwa hiyo wenye kuvaa mavazi ya kijani pekee ndio hawastahili kubambikiwa kesi na polisi chini ya huyo muheshimiwa sana sio, vipi
Ni ngumu sana kuwaamini ccm hasa kauli zao, ni watu walio ktk mifano halisi ya mafarisayo.
 
Kama hayo maneno ameyaongea kwenye kampeni nisawa.
 
Mpango zubaishi dunia makini haitamwelewa mazezeta Kama wapo Tz ndo watamuelewa
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Kaziiendelee Tanzania
 
Haya matamkwa tu maskari gani hao wakenya au watanzania? Nape tu mwenyechama iwe kiraiaya
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Nzuri sana hii
 
Kubambikia watu kesi ni SERA YA CCM
 
Kaziiendelee Shaka Hamdu Shaka
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…