kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
unasemaje msumari wamoyo akati Hana ushindani ushindani uko korokoroni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni yeye au Washindani wanakimbia na mpira?unasemaje msumari wamoyo akati Hana ushindani ushindani uko korokoroni
Huyu Shaka Mimi naona apewe tuzo tu
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania,Nawasalimu kwa jina la JMT,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika Mkoa wa Mtwara.
Shaka ameonekana kutoridhishwa na kasi ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025,Pamoja na serikali kutoa 157.8BL kwaajili ya Ukarabati wa bandari ya Mtwara kwaajili ya kutoa ajira mpya kwa Watanzani mradi bado unasuasua hali iliyopelekea Shaka kutoa Kalipio kali kwa Uongozi wa Mkoa wa Mtwara.
Shaka amewaonya vikali watendaji wa Serikali wanaotaka kukwamisha maendeleo ya Watanzania na kwakufanya hivyo Wanamkwamisha Rais Samia Suluhu Hassan katika juhudi zake za kuharakisha na kurahisisha maendeleo ya Wanamtwara na Watanzania kwa ujumla wake.
View attachment 1943022
Hee! Sio tena "magufuli wa kike"?Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
CCM gani wewe!mtoa post sema ukweli, mimi ni CCM. Tanzania hatuna uwanja sawa wa kisiasa. Mtu anatoka golini kwake hakutani na mkabaji yeyote, anafunga halafu, unamsifu kuwa ni mchezaji mzuri kwa kipimo gani? Mtoa post jizoeze kujiuliza maswali magumu
Hata Mr. Slow aliitwa sijui risasi za moto au Nini Tena, na Leo anaotwa moto wa mabua.Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki kifupi tangu kuteuliwa kwake,
Siasa zake za msimamo wa wastani na kuegemea zaidi kwenye kusikiliza na kutatua matatizo na shida za watu bila kujali itikadi wala hali yoyote zimemfanya Shaka Hamdu Shaka awavute watu wengi hasa vijana kujuinga na Chama Cha Mapinduzi,
Shaka pamoja na fitina na figisu nyingi alizofanyiwa huko nyuma kamwe hazijawahi kumfanya alege kwenye kukitetea na kukipigania Chama Cha Mapinduzi zaidi sana kijana huyu alisamehe na kusahau leo Shaka amegeuka kuwa darasa la Uongozi na viongozi kwa vijana wengi wa CCM na hata kwawale wasiokuwa na vyama au wavyama vingine,
Wakasema Shaka Hamdu Shaka anakula rushwa wakamsimamisha uongozi kijana huyu mwenye hulka ya Upole na Unyenyekevu hakujali wala kukata tamaa zaidi sana akaendelea kuchapa kazi kwa weledi na bidii zaidi kuliko mwanzo,
Vijana wa Tanzania tunachakujifunza toka kwa kijana huyu Mzalendo wakutiliwa mfano, Pamoja na Vita kubwa kubwa na nzito alizopigwa leo hii Shaka amegeuka lulu ndani ya Chama Cha Mapinduzi,Leo ndio mtu anayerudisha imani kwa Watanzania kuendelea kuiamini CCM-Tanzania
#Vijana Uvumilivu Unalipa sana,
View attachment 2019626
View attachment 2019627
View attachment 2019629
View attachment 2019631
View attachment 2019632
View attachment 2019636
View attachment 2019686
View attachment 2019687
View attachment 2019688
View attachment 2019689View attachment 2019706
DaaahDu we kweli Shida. Unawajua hao Vijana wote wa ccm au unaota mchana. Mimi ambaye Sina chama nawafahamu. Sema Shida uliyo nayo Ni uchama. Nahisi hawa watukanaji ndo wajenga hoja. CCM Ni zaidi ya hao unaowaona. Ndo mana wako Hapo b
Mie huwa mtu akisema fulani ni jembe napata tafsiri nyingine kabisa, unajua jembe linakuwaga na tobo ili mpini uweze kuingia, sasa unanipa shida kidogo unapomuita mwanaume mwenzio jembe.Shaka ni jembe nakubali
Tatizo ni yeye au Washindani wanakimbia na mpira?