Shaka Hamdu Shaka msumari wa moto kwa Upinzani Tanzania

#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Akina Makonda, Polepole nk pia mliwasifia hivyo hivyo nyie ni wachumia tumbo tu tunawafahamu vizuri sana.

Huyo mnayemsifia ameifanyia nini nchi hii na hapo sasa mmeshaanza kumlia hela yake, sio bure.
 
Akina Makonda, Polepole nk pia mliwasifia hivyo hivyo nyie ni wachumia tumbo tu tunawafahamu vizuri sana.

Huyo mnayemsifia ameifanyia nini nchi hii na hapo sasa mmeshaanza kumlia hela yake, sio bure.
Sasa na wewe siunde ukamlie tu
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Mi nilidhani maadui zetu wa kuwafuta ni Ujinga, Umasikini na Magonjwa kumbe tunapigana vita na Wapinzani ? Huku ni kupoteza resources
 
Nchi haihitaji mtu kuwa msumali wa moto Kwa wapinzani Bali msumali wa moto kuwaletea wananchi maendeleo.
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
Ongeza sauti kuna watu hawaamini,
 
Tanzania iko salama na Mama Samia,
 
Wakasema Shaka Hamdu Shaka anakula rushwa wakamsimamisha uongozi kijana huyu mwenye hulka ya Upole na Unyenyekevu hakujali wala kukata tamaa zaidi sana akaendelea kuchapa kazi kwa weledi na bidii zaidi kuliko mwanzo,
Endele kumwaga "wasifu" wake naona hujaweka yote 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…